Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
Wakuu naomba kujua ada za hii shule pls!!!
kawaida tu kama shule za kata ni 25,600/= per year
Wakuu naomba kujua ada za hii shule pls!!!
Mmeanza.....!!!Tuleteeni na zile za Al Akhbaru Muslim tuone vionjo na viwango vyake tuone mandhali na hijabu! Tena hiyo St. Mary's Mazinde iko huko huko waliko wengi!
lushoto hiyo.Eee bwana iko wp? iih skuli mazinde lushoto au??????????????????
wameanza umewaona enhee!!Mmeanza.....!!!
umeulizwa! acha unafiki wewe!Tuleteeni na zile za Al Akhbaru Muslim tuone vionjo na viwango vyake tuone mandhali na hijabu! Tena hiyo St. Mary's Mazinde iko huko huko waliko wengi!
NA pepa wanachana balaa.![]()
Nimevutiwa na kitambia cha mrembo wa 2 kutoka kushoto na sandals zake za blue...!! Yote maisha tu jamani