Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 754
Ipo mkoa upi? Ada yake vp? Tubandikie mkuu ada tujue kama tunaweza ku afford kwa ajili ya wajukuu wangu.
...naskia kuna kazi za mikono hapo,za kufa mtu...lol
results!??
results!??
ipo tanga, maeneo ya Mombo kam sijakosea jiografia yangu...
hii shule ni nzuri sana(kama ilivo kwa shule nyingi za kanisa katoliki)
nidhamu ya hali ya juu kwenye academics na xtra caricul. activities
binafsi naifagilia sana hii shule....
S0233 ST. MARY'S MAZINDE JUU SEC. SCHOOL: CSEE2009bht, Matokeo yao ni mazuri japo si sana ukilinganisha na jirani zao wa Kifungilo.
bht,
Iko Lushoto mkoani Tanga. Huwa wana sera ya kuendeleza watoto a Wilaya ya Lushoto kwahiyo hata "intake" yao huwa wanachukua karibu nusu ya darasa kutoka wilayani Lushoto (kama waombaji wa wilayani humo ni wengi wa kutosha). Matokeo yao ni mazuri japo si sana ukilinganisha na jirani zao wa Kifungilo. Na hii inasababishwa na ile sera yao ya kuchukua watoto wengi toka wilayani humo bila kujali kufaulu kwao kama zilivyo shule zingine.
Ipo mkoa upi? Ada yake vp? Tubandikie mkuu ada tujue kama tunaweza ku afford kwa ajili ya wajukuu wangu.
Hii shule balaa, shule dunia nzima na kazi yaani ni ora et labora aka sala na kazi.
Hizi picha nilifikiri ni mamtoni!
![]()
angalia vibinti Innocent kabisa,Mungu awalinde, vikifika mlimani au vikikua wengi mawazo yao yanabadilika na kuwaza haya
![]()
tena wanakuwa wakali ukiwauliza jamani vipi, 'tunaenda' na wakati, tunataka kuiga,
HIYO PICHA YA kwanza kila mmoja atakubali it is real superb, ya pili tunajiuma uma na kusema tunaenda na wakati! nani katika hao hapo juu ni wife material? mapaja na hayo maungo mengine ni kwa ajili ya mume was never meant for public! was meant for private
Tuwaombee hao ma-binti