Mwaka jana walimu waliongezewa shilingi elf 10 wenye mshahara wa tgts D1,elf saba wenye tgts C,na elf 5 wenye tgts B.Sasa usifikiri Mimi sijui nilichoandika na sipo blind kuhusu ngazi za mishahara na Pesa waliyolipwa walimu baada ya miaka mitatu ya mheshmiwa magufuli
mkuu, nilisikitika dogo huyu nilipomuoana,
haikuwa anauza za mwalimu, hapa alikuwa kama anatoka shule (wa asubuhi) mzazi kamkabidhi bidhaa akaziingize road kuongeza kipato cha familia.