St. Joseph Secondary - Goba

St. Joseph Secondary - Goba

mkuzi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
1,627
Reaction score
1,462
Kwanza natoa pongezi kwa shule na uongozi wa shule na wanafunzi kwa ujumla kwa kufanya vizuri katika masomo.

Changamoto iliyopo ni kuwa kuna hela wazazi wanachangishwa kwa kusudi fulani na hilo kusudi lisipokuwepo hiyo hela inakosa maelezo na wazazi wanaogopa kuuliza kisa SISTER atamchukia mwanao ambaye ni mwanafunzi na atampa HARD TIME shuleni.

1. Mfano, hela ya mtihani, TAHOSA. Elfu 20 kila mwanafunzi, wazazi wametoa na mtindo huo haukuwepo.

2. CAUTION MONEY
Kila mwaka wazazi wanatoa hata kama hakuna damage mtoto aliyofanya, hela hairudi.

Tunaomba uongozi wa shule utupe majibu hayo, tunaogopa kuuliza kwa sababu SISTER inasadikika akijua ni mzazi fulani basi mwanao anakuwa katika wakati mgumu shuleni.
 
Tahossa lazima ifanyike ndugu, plus Catholic school wana joint examinations nyingi ambazo huusisha Catholic schools only.
 
Sasa TAHOSA nani atamlipia mwanao?
Kwanza natoa pongezi kwa shule na uongozi wa shule na wanafunzi kwa ujumla kwa kufanya vizuri katika masomo.

Changamoto iliyopo ni kuwa kuna hela wazazi wanachangishwa kwa kusudi fulani na hilo kusudi lisipokuwepo hiyo hela inakosa maelezo na wazazi wanaogopa kuuliza kisa SISTER atamchukia mwanao ambaye ni mwanafunzi na atampa HARD TIME shuleni.

1. Mfano, hela ya mtihani, TAHOSA. Elfu 20 kila mwanafunzi, wazazi wametoa na mtindo huo haukuwepo.

2. CAUTION MONEY
Kila mwaka wazazi wanatoa hata kama hakuna damage mtoto aliyofanya, hela hairudi.

Tunaomba uongozi wa shule utupe majibu hayo, tunaogopa kuuliza kwa sababu SISTER inasadikika akijua ni mzazi fulani basi mwanao anakuwa katika wakati mgumu shuleni.
 
kuwa mpole tuu miaka mi 4 sio mingi mtoto amalize shule ,hizo caution money wachie sister tuu hapo shuleni
 
Back
Top Bottom