St. Joseph Collage Of Engineering

Mkuu na mm ntakua hapo course kama yako.,,naomba unijuze mchakato mzima kuhusu hyo course hapo chuon mfano ugumu na wepesi wake n.k.

mi information system and networking engineering
 
Samahani mkuu,,hivi kunakuingia kwa shift mfano unaweza ukawa na kipindi saa3 na saa7
Au ukiingia ndo mpka mwisho yan mfano kama secondary vile
 
Samahani mkuu,,hivi kunakuingia kwa shift mfano unaweza ukawa na kipindi saa3 na saa7
Au ukiingia ndo mpka mwisho yan mfano kama secondary vile

Education ndo kuna kijineema kdgo maana wanaweza ingia class mchana sometme bt ww kama sio wa edu jiandae saa 2 asbh to saa 8 mchana....hahahahaaaa! hzo n fdbck tu nlizopewa na rafk zangu wa pale.
 
Samahani mkuu,,hivi kunakuingia kwa shift mfano unaweza ukawa na kipindi saa3 na saa7
Au ukiingia ndo mpka mwisho yan mfano kama secondary vile

Dah Afadhal Umeliuliza Hlo Mkuu..Mwenye Kujua Atujuze Tafadhali
 
Wale tuliochagulia collage of engineering na sie tukutane apa tujuzane mawili matatu. kabla ya tarehe ya registration

Sorry sec batch kwa waliopata sec round st joseph collage of engeneerng majina washayatoa tyr ??
 
Kweli hicho sio chuo ni sekondary coz kuna sheria za kitoto..kwa iyo wote mnavaa mashati??
Na jeans vp wanazngua..

St.joseph wanazingatia sana discpline ya mda na masomo,wakisema ni saa 2.00 huwa ni saa mbili kamili kwahiyo kama wewe unaona tabia zako zina ulakini st.joseph utapaona kama jela.
 
St.joseph wanazingatia sana discpline ya mda na masomo,wakisema ni saa 2.00 huwa ni saa mbili kamili kwahiyo kama wewe unaona tabia zako zina ulakini st.joseph utapaona kama jela.

Tatizo wabongo tunadestur ya uvivu na hatupend kutii sheria za msing, coz yale n maisha yako na amin ucamin anaekufuatilia na kukuweka kwenye mstari ulionyooka jua anakupenda, so twenden tukapge kitabu ndugu zangu miaka 4 sio ming den kuna maisha mengne baada ya miaka hyo kuisha.
 
et mwana mi naomba uniambie vitu ambavyo ni muhimu kwenda navyo uko chuon yan vinavyosaidia katka maisha ya chuo ya usoma..vifaa muhimu yan vya kuja navyo..naomba unieleze tafadhali.
 
Afu eti jaman kuna uwezekano wa kutopata mkopo kabsa yan ada yote ukalipa mwenyewe pleez nijuzeni
 
Afu eti jaman kuna uwezekano wa kutopata mkopo kabsa yan ada yote ukalipa mwenyewe pleez nijuzeni

Very possible.Kama umechagua non priority program..Kama umesoma private schools.
 
kalinzi wap ww tunataka rum
Mimi kwa sasa nipo kijijini kwetu KALINZI,but ukihitaji nikupe namba ya darali au nikutafutie mtu alie huko muwasiliane nae utasema.Room zipo nyingi ni wewe tu utakayo hitaji kulingana na pesa yako.
 
Mimi kwa sasa nipo kijijini kwetu KALINZI,but ukihitaji nikupe namba ya darali au nikutafutie mtu alie huko muwasiliane nae utasema.Room zipo nyingi ni wewe tu utakayo hitaji kulingana na pesa yako.

Oyi hv hzo room huwa wanalipia kwa miezi mingapi? and m nataka cha elfu 40 so kama kipo mwambie anicheki 0713589112.
 
Afu eti jaman kuna uwezekano wa kutopata mkopo kabsa yan ada yote ukalipa mwenyewe pleez nijuzeni
Mkuu inawezekana hasa kama ulisoma olevel private na A level.Mimi nilisoma Olevel private na course yangu ina priolity na walinipa laki mbili tu.
 
Samahani mkuu,,hivi kunakuingia kwa shift mfano unaweza ukawa na kipindi saa3 na saa7Au ukiingia ndo mpka mwisho yan mfano kama secondary vile
Mkuu we unaenda kupiga kitabu na sio kula bata.Unaingia saa mbili kamili mpaka saa nne na dk 45 kisha kuna pumziko la dk 15.Saa tano kamili unaingia tena mpaka saa 6.45 then kuna pumziko la saa moja.Saa saba na dk 45 unaingia mpaka saa nane na dk 45.Mnasepa home hiyo ni kuanzia jumatatu mpaka ijumaa kwa mwaka wa kwanza hiyo ratiba.Wahindi wanaheshimu muda sana na baada ya hapo huwezi bakishwa darasan au wekend hakuna kurudi chuo.So jua unaenda kusoma na sio kitu kingine kuna asighnment kumi kwa kila somo mpaka semister inaisha utakuwa umefanya asighnment 80 na umepiga kati 3,modal 1 baada ya hapi ndio unapiga UE.
 
Nimesoma govn ila chuo ndo private course ni electrical and electronics
 
et mwana mi naomba uniambie vitu ambavyo ni muhimu kwenda navyo uko chuon yan vinavyosaidia katka maisha ya chuo ya usoma..vifaa muhimu yan vya kuja navyo..naomba unieleze tafadhali.
Mkuu mwaka wa kwanza mnasoma general engineering,So mnanasoma wote masomo sawa engineering wote.Cha msingi we nenda tu na pesa tu ya kutosha ya kujikumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…