St. Joseph Collage Of Engineering

Mkuu wanakataza t shirt.

ti shirt HAWAKATAZI ZOTE only zenye round nake, long sleevee na zenye chata za ajabu ajabu au yale mabwaga ya kina 50cent rickrose na j-z.... vaa smart mfano zile tshirt za fom6 hakika hakuna atakae kuulizia

jeans zilizochanwa kwenye goti haziruhusiwi, pensi na open shoez not allowed on the college campus .... in general uwe smart and well groomed.

karibuni.
 
Mkuu umenisoma ukanielewa?,Ulichokizungumzia wewe ndio nilichozungumza.
 
xo rum zipo za kupanga au hostel around zna mazngra mazur
 
xo rum zipo za kupanga au hostel around zna mazngra mazur
Vyumba/Hostel ni nyingi sana kulingana na pesa yako tu.Lakini ushauli wangu chukua room yako peke yako usikae na mtu binadamu ni wasumbufu sana.Kama unahitaji kusoma na kufanya mishe zako utakazo ona znafaa nje ya masomo kaa peke yako.Ni ushauli tu unaweza kuuchukua au kutouchukua.
 

Hzo bei zao uliztaja bt hadhi ya hvyo vyumba huwa iko vp?... ni self container au.
 

Jaman Kwan Huwez Kuhama Tu Bla Kulipia Pesa Yoyote Katka Chuo Ulchopangiwa?
 
kwa ya mbezi nenda na pesa si chini ya laki 7, na vyeti vyote na kop zake 3 3

so vyeti vipi huwa vnahtajika coz vyet vya form six bado and ucpoenda na mtonyo pungufu ndo inakuaje hapo.
 
Unatakiwa uende na hela isiyopungua 700000Tsh, hawana hostel hivyo itakubidi upange room nje ya chuo ambapo bei inarange in btn 50000 hadi laki 1 kutokana na hadhi ya chumba.
Kama una hela za kudunduliza ni bora ufanye uamuzi mwingine maana ada ni milioni 3 na ushee
Walimu wote ni wahindi
Darasani mnaitwa majina na kuitika kwa kila kipindi
Mahudhurio yako na ada ndio yatakufanya ufanye mtihani wa mwisho i.e UE
Bila kificho maisha ni ghari kama una kipato cha chini sana utapata usumbufu kumudu gharama za maisha.
Kwa wanaotaka vyumba tuwasiliane kwa msaada inbox
 

kuna ndugu yangu alimaliza hapo ,kwa sasa yupo BOT. ulichoeleza hapo haujakosea hata kimoja, uko poa kwa maelezo mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…