St. John's university wasaini boom mbele ya maafande | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

St. John's university wasaini boom mbele ya maafande

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by nchasi, Dec 19, 2011.

 1. n

  nchasi JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 525
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Wanachuo wa St.JOHN's Dodoma wamesaini hela ya boom mbele ya maafande baada ya kushinikiza kwa mgomo. Kumbe mgomo una matokeo chanya wakati mwingine.
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Na nyie wa vyuo vya uchochoroni mnapata wapi ujasiri wa kugoma na kuandamana? Vidigrii vinyewe hata havitambuliwi hapo Kenya tu.
   
 3. k

  kipinduka Senior Member

  #3
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongeren,hata mosh kuna chuo wanasuasua,viongoz wa serikal ya wanachuo weng vilaza
   
 4. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Hivi Jf hakuna jins ya kupata details za member, au hata kuwapata physicaly? Isee kiukwel jamaa umetoa kashfa na kubeza kupta kias! Yan ww unakiona chuo hk kua hakiwez chochte? Do u mean TCU doeznt recognze it as a UNIVERSITY among the other universties found in Tz? Omba radhi ndg yangu, umefanya sivyo yani.
   
Loading...