mwikumwiku
Senior Member
- Jul 15, 2011
- 153
- 35
Anaitwa Meshack Karimu huyo Afisa Uhusiano wa St. John's. Ni kilaza wa kufa mtu na amedesa sana kupata hako kadigrii kake. Ni aina ya wale watoto walioishi mitaani kwa muda wa miaka tisa mfululizo.
sasa huu ni ukenge, we endelea kufundisha kiingereza huko bana, acha kuleta habari za watu humu.
Wanaume huwa hawawasemi wnaume wenzako kwa mambo ya kipuuzi ki-hivi.
Close= funga, closer= mfungaji, inglishi haipo kukitafsiri kiswahili
sasa huu ni ukenge, we endelea kufundisha kiingereza huko bana, acha kuleta habari za watu humu.
Wanaume huwa hawawasemi wnaume wenzako kwa mambo ya kipuuzi ki-hivi.
closer= mfungaji,Hee hii sasa ni hatari! Hiki Ki-English ulijifunzia wapi? Pole sana!
Tatizo letu wa-Bongo huwa hatujipi muda wa kusoma na kusoma na kusoma kile tulichoandika. Huwa nashangaa sana sijui huwa tunataka kuwahi wapi? Naamini kabisa huyo jamaa angejipa muda wa kulisoma hilo bandiko lake mara kadhaa angegundua ni wapi alipokosea. Wahariri wetu nao hovyo, utafikri hawajaenda shule!