Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,709
- 32,477
Wakuu natumaini mko poa na poleni na mihangaiko.
Nina mjukuu wangu kamaliza 'la saba' mwaka huu na katika hangaika hangaika yake kafanikiwa kufaulu interview katika shule mbili, St Aloysius girls iliyoko Visiga, Kibaha Pwani na St Mary Goreti iliyoko Moshi, msaada kwa anayezijua shule hizi ki undani ipi ni bora zaidi?
Kwangu shule nzuri ni inayotoa elimu bora, yenye mazingira bora na inayofundisha maadili
Nitashukuru sana kwa ushauri