St. Agrey Mbeya, Wakufunzi wenzangu tunajidhalilisha

St. Agrey Mbeya, Wakufunzi wenzangu tunajidhalilisha

achimwenehk

Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
32
Reaction score
16
Wadau,

Nachukua fursa hii kuonyana sisi wenye kada hii inayo husika na kulea na kukuza maadili ya wanafunzi wetu lakini kwa mambo yanayo fanywa na Wakufunzi wenzangu chuo cha St.Agrey Mbeya tuna dhalilisha taaluma zetu.

Tuache kuwalazimisha watoto wa kike kufanya ngono na sisi kwa kuwapa vitisho vya Supp na kuwapiga viboko pale wanapo enda kinyume na matakwa yenu.

Acheni tabia hizi mnaboa kiukweli mwisho wa siku wazazi watakosa imani na Chuo pia na walimu kwa ujumla tujirekebishe pia tukumbuke tumeacha familia nyumbani kwetu tafadhali tuna haribu reputation ya chuo.
 
sio hapo kwenu tu ndugu hiyo ni tabia iliyoota mizizi nchi nzima.takukuru ndio inatakiwa kushughulikia hilo maana hiyo ni rushwa ya ngono.lakini mimi na wewe tukemee vikali hilo na wananchi wenzangu wote tafadhali tumuunge mkono mtoa mada.
 
Hii tabia mbona ipo sana.

Sema tu lazima watu waamke.Teknolojia imekuwa sana.

Nigeria madada walikuwa wanafanya ngono na Wakufunzi kisha wanafunzi wakategesha Camera wakanasa mchezo mzima.

Mie Ushauri wangu ni kwamba wanafunzi wao kwa wao waungane kwenye umoja wao,na akitongozwa mmoja basi achome issue watu watege Cameras,hapo ndio mzizi wa fitan.

We chukua mfano kama umetegeshewa Camera na video imezagaa mtandaoni hadi kizazi chako kinaikuta utasikiaje.
Kuna Mkenya mmoja alifanyiwa hivyo mpaka leo hajatoka ndani kwa mstuko na akapata maradhi ya kupooza kwa aibu ile
 
Mwadili wao kawaonya sana amewachoka sasa ni Iman yetu sisi tunao pinga tabia hizi kuwa watajirekebisha maana watoto wa kike wana nyanyasika sana
 
Wadau,

Nachukua fursa hii kuonyana sisi wenye kada hii inayo husika na kulea na kukuza maadili ya wanafunzi wetu lakini kwa mambo yanayo fanywa na Wakufunzi wenzangu chuo cha St.Agrey Mbeya tuna dhalilisha taaluma zetu.

Tuache kuwalazimisha watoto wa kike kufanya ngono na sisi kwa kuwapa vitisho vya Supp na kuwapiga viboko pale wanapo enda kinyume na matakwa yenu.

Acheni tabia hizi mnaboa kiukweli mwisho wa siku wazazi watakosa imani na Chuo pia na walimu kwa ujumla tujirekebishe pia tukumbuke tumeacha familia nyumbani kwetu tafadhali tuna haribu reputation ya chuo.

Hahahhah mnawapiga viboko lol hii ndio nasikia leo
 
katoe hoja kwenye tea meeting huku wengi nadhan hawapiti kwahyo ujumbe umetufikia tusiohusika
 
kama taifa hapa ndo huwa tunashindwa,kuoneana haya hata kwa mambo ya msingi
 
Whaaaaat? viboko chuoni....hata bure siwezi mleta mwanangu chuo kama hicho.....
 
hicho sio chuo sasa hebu kipe tittle nyingine sio ya chuo.
 
Tafuta ofisi za takukuru mkoa, evidence zipo nyingi wahusika wawe wanarekodi mazungumzo baina yao na walimu if possible.
 
hicho sio chuo sasa hebu kipe tittle nyingine sio ya chuo.

Nimesoma hapo mm jni mwanzilishi wa form six, jamaa wanakiburi saaan na siku tuliwambia shule hii itakufa hasa baada ya kuchukua walimu mitaaani , hakika kidato cha tano na sita ilikufa, sasa wananihuzunisha kusikia haya japo hawa jamaa wanaweza kuwa hivyo maana ni majank wengi wanafundisha pale na ili hiki chuo hakina administration ya professional bali mtoto, dada na wadogo ndio wakurungezi ,

Mkuu wa shule kipindi hicho( headmaster Davi) alikua anafundisha saaaa hadi kutupa soda darasani lakini mizengwe ikamjia hadi kuwenda jela na kupotezewa directio lakini siku alisema Mungu anajibu duniani sio mbinguni naona hiyo inaweza kua ndio laaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana imewaaza,
Hiistria ni kubwa saaana lakini hayo kama yapo nawza kukubali maana hizo ni tabia ambazo hazijaaaza leo
 
Mambo kama haya huisha kwa kulingana na jinsi uoga wa wanafunzi wenyewe unavyoisha na huongezeka kulingana na jinsi uoga wa walimu wao unavyopungua.
 
Mkuu uku sio kuchomeana iki chuo kimekosa strong Administration wana tabia chafu sana juu ya kuwalazimisha wanafunzi kufanya mapenzi nao endapo watakataa basi ni viboko tena unafungiwa Staff na jopo la wakufunzi wana kutesa hadi pale utapo kubali kufanya nae mapenzi na akisha fanya nae mmoja pia anafuatwa na mwingine so it's like a chain wako kama tisa ivi wanavuruga hiki chuo
 
Kwakweli mkuu jambo la kutoa hoja kwenye tea meeting lime gonga mwamba kama nilivyo eleza kuwa ata Mwadili wao ameshindwa nao awa jamaa ni tatizo saana tena sana tatizo apa mkurugenzi wa chuo hiki aende aka fanye secret vote kwa wana chuo ili kubaini wanao kichafua chuo ili achukue hatua bila ivo chuo hiki kitakufa maana ilipo fikia ni pabaya sana
 
Mkuu uku sio kuchomeana iki chuo kimekosa strong Administration wana tabia chafu sana juu ya kuwalazimisha wanafunzi kufanya mapenzi nao endapo watakataa basi ni viboko tena unafungiwa Staff na jopo la wakufunzi wana kutesa hadi pale utapo kubali kufanya nae mapenzi na akisha fanya nae mmoja pia anafuatwa na mwingine so it's like a chain wako kama tisa ivi wanavuruga hiki chuo

Huna lolote unataka uongozi wewe.Isitoshe wewe ndiye mlambaji mzuri wa watoto wa kike.
 
Back
Top Bottom