Acha hizo kule kenya ilikuwaje?Swala sio wakurugenzi swala ni makamu wa rais hawezi kulinganishwa na mkurugenzi wa halmashauri. Aibu ni aibu tu na hii imezidi sana
kuna watu mnaharibu sifa njema ya taifa letu.Mfululizo wa viongozi kujiuzulu katika awamu yako umeongezeka na unatishia sana Usalama wa kidemokrasia wa taifa, mheshimiwa rais nakushauri kataa Barua yake hii ni aibu kwa taifa letu.
Orodha ya walio jihudhuru kwenye muhula wako.
1. tulia
2. ndugai
3.majaliwa
4. mpango
5. polepole
6. Nchimbi
Mheshimiwa Rais hili linatishia usalama wa kidemokrasia wa taifa letu na kuchochea maswali ya kwanini viongozi wengi wanajiweka kando na uongozi wako.? Pia heshima ya taifa letu uthoofika kutokana na orodha hii kuongekeza katika muhula wako.
Orodha hii si mwamba wote walijihudhuru bali kuonyesha kwao tu wanaitaji kufanya hivyo udhoofisha usalama wa kidemokrasia wa taifa letu.
Pia swali lingine ni Je, Asilimia 98% zilikuwa za kuokoteza....? na je watu kuny'atuka si hatari kwa usalama wa kidemokrasia ya taifa...?
Nakutakia tafakati ya kina, maana ukijumlisha na mvutano wa jumuiya za kimataifa, kesi za uhaini, yaliyotokea tarehe 29 october na siku zilizofuata, n.k naona unapaswa kutafakari na kupata utulivu wa kiakili, n.b Sikiliza ushauri wa wanaokuzunguuka vizuri.
Nawasilisha.
Na anaye/wanafuata,🤔Mfululizo wa viongozi kujiuzulu katika awamu yako umeongezeka na unatishia sana Usalama wa kidemokrasia wa taifa, mheshimiwa rais nakushauri kataa Barua yake hii ni aibu kwa taifa letu.
Orodha ya walio jihudhuru kwenye muhula wako.
1. tulia
2. ndugai
3.majaliwa
4. mpango
5. polepole
6. Nchimbi
Mheshimiwa Rais hili linatishia usalama wa kidemokrasia wa taifa letu na kuchochea maswali ya kwanini viongozi wengi wanajiweka kando na uongozi wako.? Pia heshima ya taifa letu uthoofika kutokana na orodha hii kuongekeza katika muhula wako.
Orodha hii si mwamba wote walijihudhuru bali kuonyesha kwao tu wanaitaji kufanya hivyo udhoofisha usalama wa kidemokrasia wa taifa letu.
Pia swali lingine ni Je, Asilimia 98% zilikuwa za kuokoteza....? na je watu kuny'atuka si hatari kwa usalama wa kidemokrasia ya taifa...?
Nakutakia tafakati ya kina, maana ukijumlisha na mvutano wa jumuiya za kimataifa, kesi za uhaini, yaliyotokea tarehe 29 october na siku zilizofuata, n.k naona unapaswa kutafakari na kupata utulivu wa kiakili, n.b Sikiliza ushauri wa wanaokuzunguuka vizuri.
Nawasilisha.
umemsahau katibu wa ccm.Mfululizo wa viongozi kujiuzulu katika awamu yako umeongezeka na unatishia sana Usalama wa kidemokrasia wa taifa, mheshimiwa rais nakushauri kataa Barua yake hii ni aibu kwa taifa letu.
Orodha ya walio jihudhuru kwenye muhula wako.
1. tulia
2. ndugai
3.majaliwa
4. mpango
5. polepole
6. Nchimbi
Mheshimiwa Rais hili linatishia usalama wa kidemokrasia wa taifa letu na kuchochea maswali ya kwanini viongozi wengi wanajiweka kando na uongozi wako.? Pia heshima ya taifa letu uthoofika kutokana na orodha hii kuongekeza katika muhula wako.
Orodha hii si mwamba wote walijihudhuru bali kuonyesha kwao tu wanaitaji kufanya hivyo udhoofisha usalama wa kidemokrasia wa taifa letu.
Pia swali lingine ni Je, Asilimia 98% zilikuwa za kuokoteza....? na je watu kuny'atuka si hatari kwa usalama wa kidemokrasia ya taifa...?
Nakutakia tafakati ya kina, maana ukijumlisha na mvutano wa jumuiya za kimataifa, kesi za uhaini, yaliyotokea tarehe 29 october na siku zilizofuata, n.k naona unapaswa kutafakari na kupata utulivu wa kiakili, n.b Sikiliza ushauri wa wanaokuzunguuka vizuri.
Nawasilisha.
SImba hatuhusiki na mtuweke kando kwenye hili😀98% alafu list inaongezeka yani ccm wamekuw kama simba msimu mmoja makocha nane (8).
Aibu kaka
Hapana, shida ni katiba inapaswa kjwa na mamlaka maalumu ya usimamizi wa misingi ya katiba yenyewe.Kwenye Katiba Mpya tuandike ni marufuku Mwanamke kuwa Rais Tanzania, mpaka Dunia itakapoisha.