TANZIA SSGT Reginald Ruta wa JWTZ amejiua kwenye Kaburi la marehemu Mkewe

Kujitoa uhai kwasababu ya kitu chochote kile kilichoko duniani au umekutana nacho duniani ni ujinga mkubwa sana.Tena huyo kajiua kwa ajili ya kitu ambacho tayari kimeshakufa bila ata kujali ustawi wa watu wengine waliokua wanamtegemea inaonyesha ni jinsi gani alikosa busara.Kufa kupo ila kufa kijinga ni ujinga zaidi.
 
Bali? Mzee mwenzangu unajua kuna wanaume hawawez kusimama bila wake zao? Hata kama ana kipato!
ilo nikweli kabisa, wanawake Wana mchango mkubwa kwenye maisha na maendeleo yetu wanaume , Kuna mshkaji wangu miaka iyo alikuwa akipata hela ye kula bata, bata nayeye,
ilikuwa maskani yake enzi izo FOUR WAY bar pale mwenge au CHAGABITE, ukimwambia kujenga mnagombana, alivyokuja kuoa jamaa alibadilika na alipiga hatua kubwa kimaisha, walinunua kiwanja na mkewe, mashamba, mambo ya starehe kwa sana akapunguza, aisee jamaa umwambii kitu kwa mkewe, mwenyewe anamuita mkewe CAG
 
🥰🥰🥰 hakika mkuu....! Bila sisi nyie mnavurunda sana
 
Huwa mtu akijiua baadhi ya dini ikiwemo RC wanatoa hukumu kabisa, kwamba yeye ni wa motoni, hivyo hawamfanyii ibada/misa
Lakini hapa nimeona tofauti maana unasema katikista aliongea kwenye ibada. nimenukuu hapa chini

'Akizungumza katika ibada hiyo, Katekista wa Kanisa Katoliki la Bikira Maria Kipawa, Silivester Sadick alisema kifo hicho ni funzo kubwa kwa watu wote na kinaonyesha wazi hakuna binadamu mkubwa mbele ya Mungu.'
Ooh ok ok sawa nimekupata vema
 
Pamoja na yote niseme wazi tu kuwa mlikuwa mnabishana au mnajadili kitu cha kijinga sana tena sana...samahani kama nimekuvunjia heshima.
Tupo tofauti ninaweza kuona wazo la kwako ni baya ila wewe binafsi unaliona zuri
 
Naamini mtu anayejua anakuwa amepatwa na matatizo/u ugonjwa ya kiakili

Sanaa ya kifo
 
Back
Top Bottom