Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,423
- 4,491
SSC mnatakiwa kuona namna ambavyo Dar Young Africans wanavyocheza, ni kazi nzuri ya Hersi Said, Injinia.
Kaeni nae chini awape mbinu.
Hata yeye alijifunza kutokana na mafanikio SSC ya kipindi hicho chini ya kina Hans Pope, akajifunza pia namna ya kulobby kupitia kina barbara. Now ni masterminder wa kulobby na sajili za kimkakati, a silent killer.
Jamaa ameshaona sajili za youtube na ten percent hazina ishu tena na anasikiliza kile ambacho kocha ameshauri.
Mkitaka kuona tofauti ya Hersi Said, Injinia na vichwa maji vya msimbazi subirini muone usajili wa dirisha dogo. Mtaelewa what I mean .
Kaeni chini na Hersi Said, Injinia awafundishe namna ya kufanya sajili za kimkakati. Leo hii hata game ikirudiwa, SSC inatobolewa kirahisi tu. Ukuta wa Yanga upo imara, Ukuta wa SSC hauwezi kumzuia Aziz Q, Pacome Misonda etc
Over 5 years mmecheza robo fainal, SSC hamjawahi kucheza nje ya hapo….. a big comfort zone of SSC.
I bet ,Yanga akichomoka group stage , mtamuokota nusu fainal ya CAF , anacho kikosi cha kufanya hivo, na itakuwa ni aibu yenu SSC kutuaminisha for 5 years mfululizo kuwa robo fainal ndio mpango mzima. Shirikisho mnaishia robo fainal na kufa kiume, Yanga akavunja huo mwiko. CAFCL nayo mnaishia robo, na Yanga ndio atavunja huo mwingi this time.
Hongera Hersi Said, Injinia kwa kazi nzuri, kwanza inayoanzia kwenye usajili ambao sio mchongo, hao wengine waache waamini kwenye kupuliza ndumba na kina manula wao.
Wewe fanya kazi, kijana mtanashati, smart and intelligent hakuna mambo ya kuweka tumbo mbele, fundisha hayo mazee ya msimbazi namna ya kufanya kazi as a smart young guy .
Naamini Yanga atacheza nusu fainal, SSC Muishie makundi, maana hata mkitoboa hamtakuwa na impact yoyote, mtakuja kutuambia tu mmekufa kiume.
Tumechoka kusikia huo upupu over 5 years .