SIMBA SC, tulishawahi kuwaambia, football ni investment na Uongozi bora

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,256
4,106
Imemchukua miaka 5 yanga kufika hapa ilipo, and it will take next five years kumtoa Yanga hapa alipo. That is simple mathematics.

Kitengo cha Monitoring and Evaluation cha Yanga kipo vema sana na ndio ni kitengo kinachohusika na Scouting. Hiki kitengo kipewe maua.

Yanga ilipitia magumu sana, ilikaa chini na ku realize problem scientifically na kuja na inference with evidence informed practice.

Yanga ikaacha drama na kufanya scientific football and data based scouting.

It is all about investment and setting realistic goals.

Nina imani chances za Yanga kucheza fainal ni kubwa; aliweza kucheza fainal ya CAF shirikisho first time in history kwa kizazi hiki ; na likelihood kuwa atacheza fainal CAFCL ni 70% based on opponents analysis.

Najua wengi hamuamini mnacho kiona na denial ni kubwa…… but truth will set you free.

Yanga ya sasa haina muda wa kusajili mchezaji kwa drama na kuanza kumfanyia matangazo; Yanga inasajili mchezaji ambae anakwenda kujitangaza mwenyewe kwa kazi yake uwanjani kama vile Pacome, Aziz K, Okrah na wengineo.

Mambo ya kutembea na matarumbeta mtaani kuanza kusifia mchezaji ni old version and primitive mara kacheza na Ronaldo na blah blah nyingi ; hakuna huo muda. Yanga inafanya scientific football based on analysis. Yanga ina sajili kwa data na sio kwa matangazo.

Mambo ya drama drama ya kukimbizana na wachezaji kwenye mitanndao Yanga ilishatoka huko . haina hizo na wala hakuna mchezaji mkubwa zaidi ya Yanga. Mayele aliondolewa Akiwa kwenye peek and Yanga made Mayele; is he delivering now ?

Simba kufikia kiwango cha sasa cha Yanga , inahitaji five years to come for building blocks ; na kabla ya kuanza battle za kuifikia Yanga, Simba ni lazima itatue shida zake kuu 3

1. Uongozi wa Simba bado ni old version na ndani yake kuna wazee wengi rahisi snaa kudanganywa: dunia ya sasa ni ulimwengu wa technology na data science ; watu wanazungumza kwa Analysis na sio matarumbeta. Uongozi wa simba unahitaji Overhaul ili iingie kwenye battle ya Yanga. Moja ya Overhaul ni kuweka CEO ages between 30 to 40, with strong qualification .

2. Monitoring and Evaluation ya SSC inahitaji overhaul ambayo ndio inahusika na scouting. Kitengo hichi kiwe equipped na vijana wenye skills . Sina imani sana na wezee: wazee wabaki kuwa washauri

3. Mo aache Drama na afanye sajili za kimkakati with honest heart.

Otherwise, endeleeni kuota.

Tunatamani Simba nayo iwe poa ili Soka letu likuwe na sisi tuwe tunafanya export ya wachezaji.
 
Hahaha! Simba imeshaset standards zake. Hayo yanayo fanywa na yanga simba ilishafanya kitambo, iliwahi kuongoza kundi na sio hilo tu, kumbuka msimu huu tu simba imefungwa mechi moja ya caf. Simba imeshajijengea brand yake africa, ila yanga ndio mnajipambanua kwa sasa.
 
Kwani simba imefeli wapi au maneno yote haya ni matokeo ya jana? Simba kashindwa robo? Mbona mbovu jingi afu point hakuna, lengo lenu ni kuwatoa Simba kwenye reli!

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Umesahau kuna kocha wa yanga aliwahi kusema mashabiki wa yanga ni nyani wanashangilia hawajui mpira! Ukisoma huu uzi unapata jibu moja kwa moja
 
Hahaha! Simba imeshaset standards zake. Hayo yanayo fanywa na yanga simba ilishafanya kitambo, iliwahi kuongoza kundi na sio hilo tu, kumbuka msimu huu tu simba imefungwa mechi moja ya caf. Simba imeshajijengea brand yake africa, ila yanga ndio mnajipambanua kwa sasa.
Hivi uliangalia gemu ya Simba na Asec Mimosa?
 
Uko sahihi maana hata kipindi simba inawapitisha akina Al ahly na As vita kwenye tanuru la moto hapo taifa uongozi wa akina Barbra na Senzo ulikuwa unaonekana uko smart kuliko uongozi wa yanga.

Kiongozi anaemualika mchezaji wa timu pinzani kwenye uchaguzi ni kiongozi anaejali tumbo lake tu na kuwaona mashabiki ni wapuuzi.

Kuna shida kwenye scouting pale simba na viongozi wanaonekana wanatanguliza matumbo yao.
 
Back
Top Bottom