SSA greenlight team lead-UBER

Cathelin

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
2,071
Reaction score
3,997
Wakuu pole na shughuli, pia pole kwa kupoteza ndugu zetu.

Imepita wiki mbili tangu tumefanya application za kazi Uber, walisema watatujibu lakini hadi sahivi kimya, vipi kuna walioitwa naomba mnifamishe
 
mi sjui yan sjui kabisaaa kabisaaa
 
Vuteni subira huku mkiendelea kufanya applications zingne bila Kuchoka....Mungu awatangulie
 
na wakat muna apply muwe mnasema.. sio gemu taiti ndo mnatuuliza maswal
 
Reactions: rr4
itakuwa wameshaita maana mm wali nitumia email yakujulisha sija qualify
 
am not sure ila kumbukumbu zangu n around mwezi wa 6 o 7 kwa nafsi hiyo ya ssa greenlight team lead
 
am not sure ila kumbukumbu zangu n around mwezi wa 6 o 7 kwa nafsi hiyo ya ssa greenlight team lead
Oooh wa mwezi wa saba washaitwa ila wa mwezi wa tisa bado
 
Sikuhizi zimekuwa nyingi kuliko tax
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…