Ss kuwajibia mawaziri

Ss kuwajibia mawaziri

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2009
Posts
2,653
Reaction score
270
Tunaofatilia mjadala wa mahakama ya kadhi au OIC tunaona kwamba ss huingilia kati hasa pale mbunge anapomuuliza waziri mkuu wa swala la papo kwa papo au hata waziri wa sheria alipoulizwa ss huingilia kati na kujibu yeye badala ya muhusika. jee ss anahofia nini? jee ni haki kufanya hivyo kwanini SS asimuachie waziri muhusika. jee ss atamjibia Membe kuhusu Oic. NATOIA HOJA
 
Back
Top Bottom