Srong au mediacom deki gani ya ungo ni nzuri?

Jaribu kusearch humu JF akina Arselona wameeleza mno humu kuhusu hizo receiver. Halafu ni huyu Shiny C ninayemfahamu ndie anaweza kuanzisha uzi bila kusearch kitu kama hicho? Anyway search jamaa wamefafanua vizuri sana.
 
Back
Top Bottom