Mwenye spywatch muundo wa picha niloweka tufanye biashara mara moja. Awe dar. Au anayejua wapi zilipo dar anielekeze. Strictly muundo na mwonekano huu tu. Natanguliza shukran.

Hongera !! kwa kutangaza biashara kwa staili ya aina yake. Umetumia ID moja kujifanya unatafuta hiyo kitu alafu ID nyingine unaweka namba ya simu ili watu wakutafute. Good creativity lakini tumekutambua ndio mtu yule yule