Acha wizi mkuu, wakati ebay unapata hadi kwa $20? Hata hivyo kuna thread ya jamaa wanaitwa Godfrey Electronics humu JF wanauza hizo spy watch for way more cheaper than ur selling price.
mkuu inaonekana katika manunuzi yako ulipigwa sana.
ndio maana bei yako ya kuuzia imeanzia hapo
pole sana ila usiwe na wasi biashara maelewano na siku zote wajinga hawaishi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.