Is this english? Or a language similar to english?Rewarded as a traitor deserves.
Bado mdogo...'utamuua' huyo!How old are you.?? This is most useful to you Rewarded as a Traitor Deserves or you may use google.
Unasemaje? Ati ni easy kuwa infiltrated?? Kumbuka hapa tunaongelea a serious covert operation by first class intelligence agents wa nchi kubwa kama Russia, so yes wanauwezo wa kusmuggle radioactive material ndani ya UK..Hao jamaa wa KGB/FSB waliwezaje kuingia UK na hiyo radioactive material? Ina maana airport za UK ni nyepesi hivyo kuwa infiltrated?
Unasemaje? Ati ni easy kuwa infiltrated?? Kumbuka hapa tunaongelea a serious covert operation by first class intelligence agents wa nchi kubwa kama Russia, so yes wanauwezo wa kusmuggle radioactive material ndani ya UK..
Hapana si lazima kuwe na weakness kubwa hivyo! Operations kubwa kama hizi zinachukua a lot of time kuziplan, months or even years!! So with that amount of determination any agency inaweza kuwa infiltrated..That means kuna weakness kubwa sana basi kwenye intelligence ya UK. Hili ni tatizo. Sijui wahusika wa kuzui hiyo kitu walichukuliwa hatua gani. Na ni aibu vitu vya hatari hivyo kuingi UK huku wenyewe hawajui.
That means kuna weakness kubwa sana basi kwenye intelligence ya UK. Hili ni tatizo. Sijui wahusika wa kuzuia hiyo kitu walichukuliwa hatua gani. Na ni aibu vitu vya hatari hivyo kuingia UK huku wenyewe(MI6) hawajui.
Hapana si lazima kuwe na weakness kubwa hivyo! Operations kubwa kama hizi zinachukua a lot of time kuziplan, months or even years!! So with that amount of determination any agency inaweza kuwa infiltrated..
Shida kubwa ni kwamba serikali ya Russia haitoi ushirikiano wa kutosha katika hili suala zaidi wanachofanya ni kupotosha ukweli, ila jana angalau mahakama ya pale london imefikia uamuzi kuwa spies wa Russia wamehusika na hii ishu na kuna possibility kubwa Putian mwenyewe ndiye aliyetoa go ahead ya hii mission kufanyika..Nategemea MI6 wako at par na CIA, FSB au Mosad kwa ufanisi wa kazi yao hivyo muda wote wako tayari kudetect watu kama kina Andrei Lugovoi. Unataka kusema hakuna watu waliwajibishwa kwa kosa kubwa kama hili?
Kwani polonium haipatikani uingereza mpaka watoke nayo russia?Hao jamaa wa KGB/FSB waliwezaje kuingia UK na hiyo radioactive material? Ina maana airport za UK ni nyepesi hivyo kuwa infiltrated?
Kwani polonium haipatikani uingereza mpaka watoke nayo russia?
Kwani hao ni KILA MTU kama unavowaita?hao ni professional spies.Hata kama ipo, UK siyo banana republic au 3rd world country ambayo kila mtu anaweza kupata polonium 210 akitaka.
Kwani hao ni KILA MTU kama unavowaita?hao ni professional spies.
Hamna inteligensia ya nchi isiyo na weakness ambazo zinaweza kisababisha madhara makubwa.Kama waliweza kuipata huko huko suala linarudi pale pale kuwa intelligence yao ina walakini mkubwa.
Shida kubwa ni kwamba serikali ya Russia haitoi ushirikiano wa kutosha katika hili suala zaidi wanachofanya ni kupotosha ukweli, ila jana angalau mahakama ya pale london imefikia uamuzi kuwa spies wa Russia wamehusika na hii ishu na kuna possibility kubwa Putian mwenyewe ndiye aliyetoa go ahead ya hii mission kufanyika..
Huyu jamaa anashangaa covert operations za taifa ndan ya taifa,hata isil wanafanya covert operations na wanafanikiwa,hii inshu hahitak uwe professional spies,bal binadam yoyote akiweka dhamira ya kufanya jambo,akajipa muda na dedication lazma afanikiwe,intelligence operations znakuwa affected na human error, huwez kuzuia human error at 100%,that's why hata tz ikiamua inaweza kupenya USA na kufanya operations, kumbuka even Rwanda huwa anafanya yake mpaka ulayaMzee hao w
Hao wote nisuperpower haina tofauti na soccer pale Tim Kama brazil kupigwa tano na German jua hawa jamaa wanatafutana usiku kucha due to one mistake there is one miserable attack!!ukifatilia huenda b4 that mission accomplished there is much lost to Russia