- Mnunulie simu mpya, ( au kama una access na hiyo simu yake basi waweza itumia)Apps nzuri ya kuchunguza kinachoendelea katika simu ya kijana wangu,mahitaji yake ya Chuo siku hizi yameongezeka sana,sasa napata mashaka isijekua na tunza familia
Hili lifanyike baada ya kuwa tayari ana A to Z ya nini anafanya mtoto wake.Hamna haja ya spy nini wala nini huyo ni mwanao, one thing for sure ni unamuweza kaa naye chini kirafiki mfungukie. Kama yupo chuo basi akili za kujua maisha yamekua kombolela anayo.
Support na msaada kwa mtoto wake inapaswa kuendelea kama kawaida.Isije mwisho akajiondoa duniani kwa kukosa msaada kwani hana mkopo?!
- Mnunulie simu mpya, ( au kama una access na hiyo simu yake basi waweza itumia)
- Ila kabla ya kumkabidhi hiyo simu mpya muwekee mSpy app, { ilipie japo mwezi mmoja tu, ili upate premium features}
- Hapo utapata taarifa zake zote: WhatsApp, Snapchat, Facebook, Calls, SMS, GPS tracking etl
Hili lifanyike baada ya kuwa tayari ana A to Z ya nini anafanya mtoto wake.
Nina amini tunapaswa kujua na kuwalinda watoto wetu kwa kadri iwezekanavyo.
Support na msaada kwa mtoto wake inapaswa kuendelea kama kawaida.
Hapanakwenye IPhone pekee.
App hii ni kiboko inaitwa deshmax ipi playstore on the nalipiwa kama mmavoona hapo no zengwe View attachment 1310915View attachment 1310916
Sent using Jamii Forums mobile app