Bonesmen
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 929
- 991
Habari Ndugu zangu,
Naweka hii mada kuendeleza mjadala wa Science ya roho Ntaeleza kwa Ufupi maana ya Roho.
Roho ni kitu kisichoonekana ila kipo Ndani yetu .
Roho ina nguvu sana na matokeo tunayopata Ya nje yani physcial ni matokeo ya utendaji wa roho.Chochote kinaweza fanikiwa kama nguvu ya roho itatumika ipasavyo Tambua roho ni Mungu na Mungu ni omniscient, omnipresent na omnipotent Mwanadamu kama Kiumbe anasehemu mbili mwili na roho ivo mwanadamu huyu kwa vile ana roho ina maana ana Uungu ndani yake ambao unaweza kumfanya awe na Sifa Zote kabisa tunazosikia katika Miungu ya jamii tofauti kama ndugu zetu muslim,Buddha, Christian na Makundi mengine .
Elimu ya kiroho inategemeana sana jamii hadi jamii ni kama ilivyo technology inategemeana kuna makundi machache yako imara kiroho na yana ficha maarifa haya kwa malengo yao, karibu mwana jamvi tuzidi kushare knowledge kuwa huru Tujifunze ukweli.