Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,111
- 22,492
Washindwe kuwafunga wakina DJ Mwanga na site zao ziko active na kila mtu anaweza kuona uje kunifunga Mimi.Unatakiwa kulipia starehe yako kiongozi. Kma huwezi we fanya unachoweza huko ila usikitangaze hadharani maana sikuhz ni noma unaweza pewa kesi hvi hvi wakatumia hchi kitu kukufunga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mambo ya spotify ni kujibebesha mzigo unaoepukika
Sio kesi hivi hivi! Hilo ni kosa na anastahili kuchukuliwa hatua.Unatakiwa kulipia starehe yako kiongozi. Kma huwezi we fanya unachoweza huko ila usikitangaze hadharani maana sikuhz ni noma unaweza pewa kesi hvi hvi wakatumia hchi kitu kukufunga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kanifungeSio kesi hivi hivi! Hilo ni kosa na anastahili kuchukuliwa hatua.
Analipia michango ya harusi lakini anashindwa kulipia starehe/mapenzi yake yanayotokana na haki za watu.
Mkuu nimecheka sana 😁Nenda kanifunge
[emoji1][emoji1]Mkuu nimecheka sana [emoji16]
By the way! Chukulia easy, tuna-interact tu. [emoji1787]
Yah nilijua soon itaanza kupatikana nlipata mchongo wa kuifanyia testing kupitia freelancing two weeks ago kabla ya kuwa launchedSasa ni rasmi Spotify inapatikana Tanzania na Afrika Mashariki.
Baada ya miaka kadhaa wapenzi wa muziki na maudhui ya sauti, waliokiwa wakisubiri kwa hamu ujio wa Spotify Afrika na Afrika Mashariki sasa ipo huru kutumika.
Spotify Afrika inapatikana mataifa yafuatayo Algeria, Botswana, Burkina Faso, Cape Verde, Masr, Gambia, Ghana, Guinea-Bissau, Kenya, Lesotho, Liberia, Malawi, Mali, Morocco, Namibia, Niger, Nigeria, São Tomé and Príncipe, Senegal, Seychelles, Sierra Leone, South Africa, Tanzania, Tunisia, Uganda.
Great! Nilikuwa mmoja wa Beta User/Tester pia.Yah nilijua soon itaanza kupatikana nlipata mchongo wa kuifanyia testing kupitia freelancing two weeks ago kabla ya kuwa launched
Kumbe, hope walikulipa maana mimi malipo yalikuwa ya kawaidaGreat! Nilikuwa mmoja wa Beta User/Tester pia.
echo dot 3Alexa Play, Alexa Assistant au Arri Alexa?
hahahahaha kmmmkNilipe Luku, Dawasco, Maji taka, king'amuzi, michango ya harusi, misiba, vicoba, sadaka, fine za Barabarani.
Aaagh wapi acha tufungwe tu. Wasanii wenyewe wanaimba matusi
Hapana, malipo ya kawaida pia. Mmoja ya wahusika (ni Dev.) aliyekuwa na jukumu la kuondoa restrictions ndiye aliyefanya-connection.Kumbe, hope walikulipa maana mimi malipo yalikuwa ya kawaida
Hii ina-range TZS 100K ni affordable mkuu.echo dot 3
nnayo mkuu, nilikua natumia kwa project flaniflani, ila kuja kuchimba zaidi, nikajua naweza add Skill ya Spotify na ku play music kwa voice commandHii ina-range TZS 100K ni affordable mkuu.
Alexa Echo Dot 3 sina hakika! Maana supported devices ni;-nnayo mkuu, nilikua natumia kwa project flaniflani, ila kuja kuchimba zaidi, nikajua naweza add Skill ya Spotify na ku play music kwa voice command
sema shida hii alert bado ipo, so siwezi add Spotify skill
View attachment 1712550
nimefanya ivi kwa account yangu ya Amazon, now imekubali fresh,akaunti yako (Profile) kwa kubadili taifa lililopo na kuweka taifa ulilopo litakuwa limejumuishwa.