isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,152
- 6,601
Pakua aplikesheni rasmi sasa kupitia Google Play Store na App Store.
Ahaa! Safi. Nadhani Spotify inaujazo zaidi ni upi mtazamo wako?Deezer walicover mpango mzima kwa upande wangu..
Alexa Play, Alexa Assistant au Arri Alexa?Alexa yangu iko wapi
Listening now Fireboy DML vibration
Utaanza kwa siku 14 bure! Kisha utaweza kulipia packages zifutazo;-nauliza ?? hakuna payments zozote kwa app hii.. yasije yakawa kama ya apple music
Spotify wana free option pia. Ila unakuwa shuffled playlist zako na unaweza skip mara 6 tu kwa wakati mmojaUtaanza kwa siku 14 bure! Kisha utaweza kulipia packages zifutazo;-
• Premium Individual | 6,900
• Premium Student | 3,500
• Premium Duo | 8,900
• Premium Family | 109,000
• Premium Prepaid | 7,590
Bando lenyewe utata acha tujikite kwa www.djmwanga.com tunashusha pini bureeUtaanza kwa siku 14 bure! Kisha utaweza kulipia packages zifutazo;-
• Premium Individual | 6,900
• Premium Student | 3,500
• Premium Duo | 8,900
• Premium Family | 109,000
• Premium Prepaid | 7,590
Kwa mwezi.
Hakika racka98 utaweza skip mara 6 ndani ya saa 1. Every hour (Skip 6 Time's) S6T.Spotify wana free option pia. Ila unakuwa shuffled playlist zako na unaweza skip mara 6 tu kwa wakati mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Urudufu wa kazi za wasanii ni kinyume na sheria za nchi na sheria za kimataifa. Matumizi ya kazi zisizo halisi zinaangusha uchumi wa wasanii, watayarishaji, wawekezaji na serikali kupitia kodi.Bando lenyewe utata acha tujikite kwa www.djmwanga.com tunashusha pini buree
Nilipe Luku, Dawasco, Maji taka, king'amuzi, michango ya harusi, misiba, vicoba, sadaka, fine za Barabarani.Urudufu wa kazi za wasanii ni kinyume na sheria za nchi na sheria za kimataifa. Matumizi ya kazi zisizo halisi zinaangusha uchumi wa wasanii, watayarishaji, wawekezaji na serikali kupitia kodi.
Kwa sheria utaweza kwenda jela miaka 3 hadi 7 na kulipa faini baina ya million 3 hadi billioni 1.4 | Tumia kazi halisi kukuza sanaa, vipato vya waandaaji na kodi kwa mamlaka.
Unatakiwa kulipia starehe yako kiongozi. Kma huwezi we fanya unachoweza huko ila usikitangaze hadharani maana sikuhz ni noma unaweza pewa kesi hvi hvi wakatumia hchi kitu kukufunga.Nilipe Luku, Dawasco, Maji taka, king'amuzi, michango ya harusi, misiba, vicoba, sadaka, fine za Barabarani.
Aaagh wapi acha tufungwe tu. Wasanii wenyewe wanaimba matusi