supermario
Member
- Dec 2, 2011
- 48
- 15
afadhal yule dogo mirad ayo anajitahid kidogo ktk kipind chake.si hao tu yani karibu mipindi yao yote ya claus fm,vya kuongea huwa vinaibuka tuu.hasa kipindi cha jahazi yani ndo hadi yaboa,aaaaaaargghhh....
si hao tu yani karibu mipindi yao yote ya claus fm,vya kuongea huwa vinaibuka tuu.hasa kipindi cha jahazi yani ndo hadi yaboa,aaaaaaargghhh....
Hiki kipindi ni cha ajabu sana. Shafii Dauda anachapia mno kila anapojaribu kuongea kingereza na vile vile kipindi wanakifanya kama vile wako maskani wanapiga story tuu. Hivi kweli wanakosa hata muda wa kupanga nini wakiongelee ndanin ya kipindi? yani wana ruka toka hapa kwenda kule.
Huwa nasikiliza vipindi viwili tu! Clouds FM; Sports Extra na Njia Panda. Spots Extra ni kipindi bora vha michezo kwa kuwa kinaangalia matatizo ya mashinani mpaka TFF. Njia Panda ni kipindi bora cha kijamii kwa kuwa kinatoa picha halisi ya matatizo ya jamii za watu wa chini.
Redio hapa Tanznia ni
RADIO FREE AFRICA, EA RADIO (super mix tu), MAGIC FM na hii ya hapa
ARUSHA but sio 5 rdio
na LEO TENA ya akina gea!!
Daaaaahhhh!!! Nikidhani nina tatizo la usikivu kumbe mdau umesikia pia. Asante sana
kibonde mzee wa birthday za ikulu,hana lolote huyo ni kama nape ,gamba hilo msitegemee jipya hapo
Hiki kipindi ni cha ajabu sana. Shafii Dauda anachapia mno kila anapojaribu kuongea kingereza na vile vile kipindi wanakifanya kama vile wako maskani wanapiga story tuu. Hivi kweli wanakosa hata muda wa kupanga nini wakiongelee ndanin ya kipindi? yani wana ruka toka hapa kwenda kule.
wanacchofanya ni modern style of presenting something! wana mipaka yao laikni wanapewa uhuru wa kuongea ili mradi usipongee jambo lolote kinyume na utu na sheria za nchi! mi naona watu tumelewa na outdated style of presenting ingawa baadhi ya radio na tv bado wamekumbatia kama tbc na tbc fm, ukisikiliza radio station za wenzetu wako free sana hata kuwazidi hao akina shafii, mi naona hakuna kipr=indi bora cha michezo kama SPORTS EXTRA!