Jamani kuna ujio wa hii kampuni moya ya wacheza kamari maarufu kama sportpesa,hizi kampuni huwa zinatoa fursa za ajira sana nchini haswa pale wanapofungua matawi mbalimbali nchini[bet shops].
Sijasikia sehemu yoyote hawa jamaa walikotangaza ajira nimejiuliza wametoka nawafanyakazi wao huko kenya? Au hawajaanza kuoperate official?
Mwenye kujua zaid atujuze