Sponsorship

Z kama Z

Member
Jul 6, 2011
60
10
Hi Wa JF habari za asubuhi, Jamini nahitaji kama kuna mtu tasisis au kampuni inaweza kunisponse kwa huu mradi ambao ninataka kuufungua wa shule zile za midium.
Kwani nina kiwanja kikubwa na kiko eneo zuli sana ambalo limezungukwa na watu wengi hati na document zote za kuanzisha hiyo shule ninazo ila pa kuanzia bado ndo sijapata ila nlitaka niaanze hata na madarasa matatu pamoja na ofisi ya walimu .
pLEASE KAMA KUNA YOYOTE AMBAYE ANAWEZA NISAIDIE KUHUSU HILI ANAKARIBISWA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom