Spiritual warfare

Spiritual warfare

Ukiamini kwa moyo wako wote... na kukiri ya kuwa YESU NI BWANA utaokoka...
Hapo bado Nitakuwa na hope na sio kuwa na faith ndani yangu...

Nita hope ya kuwa kuna mtu anaitwa Yesu ambaye yuko nje huko mawinguni na ndiye aliye na hatma ya maisha yangu... Hii ni jela nyingine
 
Yesu ni messiah na alikuwa mwanadamu wa kawaida tu. Aliishi maisha yake kisawa sawa bila kuinflate ego na alisaidia wengi sana kuheal sema stori yake ilikuwa manipulated
 
Nimekuelewa sana. Japo unaweza ukawa hujui mambo Mengi kuusu Yesu.

Bwana YESU Ndiye mwanzilishi wa Kimfunua Mwanadamu kwamba yeye sio Miwili Bali ni Roho inayo ishi ndani ya Mwili.

Japo dini imetuvuruga sana na kututoa kwenye uhalisia wa Asili ya Uhungu Aliotufunilia Yesu.

Yesu Ndiye Aliyetujulisha uwezo Uliopo ndani yetu kama tukiutumia unaweza kutusaidia Kupata kila kitu tunacho kihitaji.

Tatizo ni mapokeo ya Dini yameufunga mlango wa ndani wa kuona visivyo onekana kwa macho ya nyama Ambavyo ndio Asili yetu.

Kama wewe ni mchanga kiroho huwezi jua Siri hizi.

Siri hizi zinahitaji Utulivu wa ndani yaani Meditation.

Watu wengi Wana Muda wa kuomba lakini hawana Muda wa kutulia kufanya Meditation hapa ndio penye Siri ya mumbadilisha mtu kutoka kwenye ukawaida na kuwa halisi yaani uungu.

Asikwambie mtu ni watu wachache sana tuna jua Siri hii na inatupatia kutembea na Energy ya Kuachilia na kuvuta vitu.

Sio RAHISI ukaweka mkono kwa mtu Akapona au pepo Akamtoka mtu bila kuwa na Ufahamu huu wa kiroho.

Yesu Aliwaita wanafunzi wake Akawapa Uwezo. Uwezo ni Nguvu iliyokuwa inatembea nao na kuwaongoza kufanya miujiza.

Nguvu hii inatunzwa na ukiitunza inakufanyia mambo Makubwa na kuvuta miujiza.

Hapa ndio kwenye Siri Ambapo wengi hawajui wanadhani inapatikana kwa maombi.

Kama ingekua inapatikana kwa maombi wewe ni shahidi wengi ni waombaji lakini hawana.

Siri IPO hapa soma kitabu cha Isaya 30:15 Na Nguvu zako zitakuwa katika KUTULIA.
 
Back
Top Bottom