Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,868 Aug 26, 2011 #1 Wakati speaker wa bunge, Ana Makinda akihitimisha kikao cha bunge, ameipongeza serikal kwa bajeti zake zote kupita. Na kuishauri itumie vizuri bajet kama ilivyopangwa. Source:Tbc1, taarifa ya habar 8:00 pm.
Wakati speaker wa bunge, Ana Makinda akihitimisha kikao cha bunge, ameipongeza serikal kwa bajeti zake zote kupita. Na kuishauri itumie vizuri bajet kama ilivyopangwa. Source:Tbc1, taarifa ya habar 8:00 pm.
Mwita25 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 3,831 Reaction score 1,173 Aug 26, 2011 #2 Sasa hii nayo ni habari?
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,024 Reaction score 59,685 Aug 26, 2011 #3 Mwita25 said: Sasa hii nayo ni habari? Click to expand... wewe unaona ni nini?