The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,187
Kuna Mji gani hapo Mbeya?Acha mji upumue. Dunia inakoenda inahitaji sana mashamba mjini kuliko maghorofa ya vioo. Wizara ya afya wanataka kufanyia nini flood plain kama siyo uharibifu wa mazingira.