Sina hakika kama una elimu hata ya mtaani ya sheria;Kama kuna issue itampa umaarufu na heshima duniani speaker tulia ackson ni hii ya wabunge waitwao covid 19
Mahakama haijapeleka barua hawezi fanyia kazi maneno ya mitandao na pia siyo lazima afate maamuzi ya mahakama bunge limejichimbia chini zaidi labda apende tu
Akiwatetea wanawake wenzake hakika feminists duniani watamxhukulia kama shujaa wao na bila shaka atakuwa president ajaye
Piga kazi spika usiwatoe hao achana naa makelele ya wanuka jasho hawana la kukufanya
Chadema bhana, ety atajipatia umaarufu duniani akiwafukuza hao wabunge 😂😂
Duh!...haya maneno umeyatoa wapi ?Mahakama haijapeleka barua hawezi fanyia kazi maneno ya mitandao na pia siyo lazima afate maamuzi ya mahakama bunge limejichimbia chini zaidi labda apende tu
Kwani katiba si makaratasi tu? Isipofatwa mtawafanya nini? Bwege weeee
pale mnapo shikiliwa akili zenyu... yaani mnapoteza mwelekeo kabisaa mazwazwa wa lumumbaKwani we unaona nini kinaendelea mkuu? Hawatoki wale na hakuna mtu atanfanya kitu spika
Umeangalia bunge leo?
Condom moja tu ilitosha kuiepusha dunia na takataka kama hii.Kama kuna issue itampa umaarufu na heshima duniani speaker tulia ackson ni hii ya wabunge waitwao covid 19
Mahakama haijapeleka barua hawezi fanyia kazi maneno ya mitandao na pia siyo lazima afate maamuzi ya mahakama bunge limejichimbia chini zaidi labda apende tu
Akiwatetea wanawake wenzake hakika feminists duniani watamxhukulia kama shujaa wao na bila shaka atakuwa president ajaye
Piga kazi spika usiwatoe hao achana naa makelele ya wanuka jasho hawana la kukufanya
Tatizo wanadharau wananchi Sana. Wamepeleka kesi imeonekana haina msingi speaker yupo kimya. Anasubiri wafungue nyingine.
Kwa akili kama hizi..... Ndiyo maana katiba mpya ni muhimu sana. Kama mtu Akifanya kinyume cha katiba anawajibishwa.Siyo lazima na hakuna wa kumfanya kitu labda apende tu
Hata jamaa wa chattole alikuwa hivyo hivyo, leo funza wamekula hadi zaqali yake.Kama kuna issue itampa umaarufu na heshima duniani speaker tulia ackson ni hii ya wabunge waitwao covid 19
Mahakama haijapeleka barua hawezi fanyia kazi maneno ya mitandao na pia siyo lazima afate maamuzi ya mahakama bunge limejichimbia chini zaidi labda apende tu
Akiwatetea wanawake wenzake hakika feminists duniani watamxhukulia kama shujaa wao na bila shaka atakuwa president ajaye
Piga kazi spika usiwatoe hao achana naa makelele ya wanuka jasho hawana la kukufanya
Siyo lazima na hakuna wa kumfanya kitu labda apende tu
we utopolo mambo ya condom umeyajulia wapi nani aisyejua ulizaliwa pale mwananyamala kwa wahaya, mazako mwenyewe kahaba just shut the F upCondom moja tu ilitosha kuiepusha dunia na takataka kama hii.
Wanaume tunapokamata makahaba tutumie condom, nadhani madhara ya kavukavu mnayaona haya.
Inaelekea haujui maana ya maneno ya mtandaoni, kwa taarifa yako mwakilishi wa Bunge alikuwepo mahakamani kusikiliza kesi ya wabunge wao, sasa sijui hao wanasheria wa Bunge ndiyo mtandao!Kama kuna issue itampa umaarufu na heshima duniani speaker tulia ackson ni hii ya wabunge waitwao covid 19
Mahakama haijapeleka barua hawezi fanyia kazi maneno ya mitandao na pia siyo lazima afate maamuzi ya mahakama bunge limejichimbia chini zaidi labda apende tu
Akiwatetea wanawake wenzake hakika feminists duniani watamxhukulia kama shujaa wao na bila shaka atakuwa president ajaye
Piga kazi spika usiwatoe hao achana naa makelele ya wanuka jasho hawana la kukufanya
Hii takataka ndio inawapotezea muda wote kumuelimisha?Inaelekea haujui maana ya maneno ya mtandaoni, kwa taarifa yako mwakilishi wa Bunge alikuwepo mahakamani kusikiliza kesi ya wabunge wao, sasa sijui hao wanasheria wa Bunge ndiyo mtandao!
Wanamchangia nani,wanaowalinda, wananchi,Chama au🤔Ina maana huoni wako bungeni bado na wanachangia mada