Hon Speaker, I beg your pardon. Is world cup a nation's priority?
yaani tuangalie WC ambayo hata ndugu zetu kenya hawapo!!!
TBC kama inavyojulikana ndio TV ya taifa na Ndio wenye Haki pekee yakuonesha WC kwa TZ, Spika sitta kwa kuwa nae ni Mnazi wa Futbol akaona ni vyema na haki kuwa wa TZ wapenda michezo ambao na yeye amekiri kuwa wameongezekana kutokana na kuwa rais wetu mpenda michezo wapate kuangalia Live mpira huo na kipindi cha Bunge kuwa recorded( wamekionesha leo asubuh saa2 mpaka).Naamini kabisa kwa mfano Ukiwepo mpira wa Brazil na IvoryCoast afu at the same time kuwe na Rais anatoa hotuba ..majority ya watu wa TZ watakuwa wapo kwenye upande wa Mpira.Spika Jana Kasema DUNIA KWA SASA IMESIMAMA WATU WAPO KWENYE SOKA!
Hivi Bongo tunapriority kweli?? Juzi wamekuja Brazili kwa 3Bil..leo bajeti yetu ina nakisi ya 5Tril sasa sijui vipaumbele vipi unavyosema ww!.TBC walijua world cup itacoincide na bunge, kwa nini walibid.
Unawasemea wapenda michezo kupata pleasure kwa mwezi mmoja, vipi prioroties za Taifa ni za muda gani?
Sema usiogope sema sisi wabongo tumezidi unafiki semaaaaNafikiri kuna kitu watu mna miss hapa, issue si kwamba kati ya WC na Bunge kipi cha muhimu, hapa issue ni kwamba WC inaonyeshwa na TV moja tu hapa nchini ambayo ni TBC wakati bunge linaonyeshwa na TV zingine mfano Star TV na ITV.
Binafsi sioni logic kwa nini tung'ang'anie TV zote tatu yaani Star TV, ITV na TBC zionyeshe bunge wakati tunaweza tukaacha hizo mbili zioneshe bunge na TBC ituonyeshe mpira.
Ili 'wazalendo' mnaoona mnastahili kuangalia bunge mwendelee na siye tunaoona soka kwa sasa ndio kiburudisho cha msingi tuendelee.
Ni mtizamo tu!!!
Hivi Bongo tunapriority kweli?? .....
Nadhani ilikuwa ni bizness startegy yaa kuuzia hivyo vi Decoder
Tatizo tunashindwa hata kuwa na uelewa hata kwenye mambo makini.Mfano hata BBC pamoja na umuhimu wa WC hata siku moja hawawezi kuahirisha mambo ya maana kwa kuonyesha mpira hata kama ENGLAND wanacheza.Nandio maana kunakuwa na TV station nyingi na za michezo kama supersport ili kutochanganya habari.Kwa hiyo kama hatuna priority basi tuendelee kushangilia hiyo hali?
Ni Tanzania pekee ambapo speaker wa bunge anaona world cup ni muhimu kuliko kikao cha Bunge. Sitashangaa pale ataapoahirisha Bunge ili kucheki moja ya game anazozipenda, au pale wabunge watakapoacha kufuatilia kikao na kuangalia mechi kwenye simu zao.
Watanzania tutaamka lini?
Tatizo tunashindwa hata kuwa na uelewa hata kwenye mambo makini.Mfano hata BBC pamoja na umuhimu wa WC hata siku moja hawawezi kuahirisha mambo ya maana kwa kuonyesha mpira hata kama ENGLAND wanacheza.Nandio maana kunakuwa na TV station nyingi na za michezo kama supersport ili kutochanganya habari.
Walichotakiwa kukifanya TBC wangepromote hiyo TB2 iwe kama Channel ya michezo kama ndio wanaona michezo ina maana kuliko Bajeti ya serikali.