Hivi hapa kwetu hakuna mgonjwa aliywahi kuhojiwa na vyombo vya habari?Akujazuia ina maana kapona kwanini asirudi kufanya kazi za kibunge?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu aliombea Tanzania inyimwe misaada na kweli haijapata misaada na yeye ndio maana kakosa mshahara kwasababu hatujapata misaada nafikiri tuisome namba wote pamoja na yeye aliyeombea nchi inyimwe misaada. Analia Lia mitandaoni huku alienda kuwaambia mabepari wainyime Tanzania misaadaAnaandika #Bollen_Ngeti
SPIKA NDUGAI ANATAKA LISSU AFE??
KITENDO cha Bunge la Ndugai kumfutia mshahara na posho zingine za kibunge Tundu Lissu ni unyama na ushahidi wa dhahiri kuwa Spika Job Ndugai akibanwa anaweza walau kusaidia kujua waliopanga kumuua kwa mabunduki Lissu September 7, 2017.
Mwanzoni nilijua ni kauli tu za kisiasa lakini kwa Ndugai kuamua kweli kumfutia mshahara Lissu ni jaribio jingine la kutaka kumuua Lissu na safari hii naona wanataka afe kwa njaa na familia yake.
Risasi 16 zilishindikana kumuua Lissu baada ya Mungu kusimamia "show". Jaribio la pili lilikuwa ni kumfutia dhamana ili akamatwe na Interpol aswekwe ndani na magongo yake na majeraha. Hakika angekufa kwa mateso na uchungu. Hili nalo Mungu akaepusha. Mahakama ikakataa. Safari hii naona njia sahihi iliyochaguliwa ni kumfutia mshahara Lissu ili afe kwa njaa, watoto wasiende shule, ndugu tegemezi waathirike. Huku ni kumuua Lissu na ni uthibitisho kuwa nguvu ya kummaliza Lissu ni kubwa mno kiasi kwamba bila Mungu Lissu si kitu!
Ndugai anadai hajui aliko Lissu na anafanya nini huko asikojua. Ndugai akumbushwe tu kwamba Lissu yuko hospitali huko Ubelgiji akipatiwa matibabu baada ya kupigwa risaso 38 na 16 kumuingia mwilini na hivi karibuni amemaliza kufanyiwa upasuaji wa 23. Anasubiri uamuzi wa madaktari kumruhusu kutoka au la!
Lissu ni Mtanzania kama wewe na mimi. Ana ndugu, jamaa na marafiki hata ndani ya Mafikizolo, Chadema, Inzile, Gweregwere, CUF, jeshini, TISS, vyuoni, Magogoni nakadhalika! Tumuombee apone ili awatumikie wananchi wake. Tofauti zetu kisiasa zisitutofautishe hadi kufikia kuuana kwa njaa. Wabunge wote unganeni kumpinga Ndugai, pigeni kelele hadi nchi za mbali kupinga uamuzi huu wa Ndugai. Kumbukeni wakimmaliza Lissu watakugeukieni na ninyi. Hakuna aliye salama kwa sasa!
#AchaWoga2020
Sikuwa na shaka na uduni wa akili yako ila sikufahamu kama una akili duni kiasi hikiMuulize lissu kwasababu ni learned na anajua ila anawadaa wafuasi wake kutafuta sympathy.
Mwanasheria gani ajui taratibu za kufuata katika kudai haki(madai) yake ya posho na mshahara amebaki anaandika nakala ndefu ambazo sio suluhu ya ishu yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye akili kubwa Lissu tu na wewe mfuasi wake.Sikuwa na shaka na uduni wa akili yako ila sikufahamu kama una akili duni kiasi hiki
Alliens wana akili sana sio wa hivyo mkuuSidhan kama ndugai ni human being
Nadhan tuna new specie hapa duniani
Yaan wakuu tumevamiwa na maalien
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlisema mtamchangia 2,000×500,000=1,000,000,000/Taarifa zinazofahamika ni kwamba Job Ndugai ni miongoni mwa walioshiriki kikao cha kupanga Mauaji ya Lissu
imagine wewe ndio ungekuwa mwanafunzi waa kidato cha pili halafu lissu angekuwa ndio baba yako wa kambo anayekulipia ada ili umalize kidato cha nne, ungeanduka utumbo kama huo?.Taratibu na kanuni haziangalii sura usipozifuata kufa tu tutakuzika.
Hata ukielewa wewe inatosha na wewe umeelewa nilichoandika au umekurupuka kujibu tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo anayeijua? Kumbe wepesi hivi, maana maneno yanawatoka hatariNdugai anakuwa mjinga kumfurahisha Pombe.. hata yeye hajui kesho yake
Taratibu zilianza kuvunjwa tokea dodoma,medical team kwenda kwa ambaye akufuata taratibu au ilishawahi tokea kwa nani medical team kwenda alipolazwa mgonjwa?Utaratibu waliojiwekea waliweza kuufuata?
Je Medical Team ilitumwa Beligium?