Spika Ndugai, sasa utawakumbuka wapinzani ndani ya Bunge

Dah! Mzee wetu SPEAKER hali tete kwa sasa, nani ataonyesha vividly kuwa upande wake angalau kumfariji? Binafsi niliwaza sana kuhusu usemi wake, alifaham fika POWERS alizonazo mama kikatiba na mifano ipo! unawezaje kupata guts kusimama with confidence na kusema vile? Watu pekee wa kumfariji kipindi hiki walikuwa wa upande wa pili lakini ndiyo hivyo kama mdau alivyosema hakuwataka nyumbani kwake. Ngoma ni ngumu kweli kweli….. chonde chonde tumuombee regardless.
Adui yako muombee njaa na misukosuko
Alivo kuwa anatesa wengine alifurah sasa atulie
 
Kajikoroga mwenyewe mbona angekomaa asiombe msamaha na zaidi angefafanua tahadhari ya mikopo sio mizuri kwa ujenzi wa nchi hasa ile mikopo ya masharti magumu, lakini hana msimamo na mwanamke akijua udhaifu wako utafokewa kama mtoto kila siku hadi ukome
Kabsaa hata mke wake na watoto wanamshangaa baba lisilokuwa na misimamo

Huyu nikumpeleka mwendo wa mateka tuu mpaka aombe pooooh
Ovyo kabsaaa
 
Waangalie tu asijiue maana kila mmoja kamkimbia ameanza kunuka kama mavi wana ccm wenzie hawamtaki hata kumsikia kapigwa biti hadi na mkuu wa mkoa
Na katibu mwenez wa mkoa
Alimwambia awe na adabu
Na mama kawapongeza woteee walio mshambulia
 
Kapigwa biti hadi na wenyeviti wa chama mkoa.

Kazi ya Spika na Bunge ni kuisimamia serikali kwenye mipango yake ikiwemo matumizi ya fedha.

Ndugai alikuwa sahihi kuhoji lakini wabunge wote kimya. Utadhani Ndugai yuko peke yake.
Mbona hakuwa pamoja na Assad,alipofichua upoteaji tillioni moja na nusu?au alikuwa anajipendekeza kwa Mwenda zake?
 
Waangalie tu asijiue maana kila mmoja kamkimbia ameanza kunuka kama mavi wana ccm wenzie hawamtaki hata kumsikia kapigwa biti hadi na mkuu wa mkoa
kiukweli nikikumbuka jinsi alivyokuwa anawatoa wapinzani bungeni ba wale maaskari tena kwa kubebwa juu juu na anasema hakuna wa kumfanya chochote.....nachoka na siwezi kumuonea huruma huyu mtu hata siku moja aisee
 
Na kwa lile biti la Jana la mama kila mmoja atapiga kura ya kutokuwa na Imani nae ili kujiwekea nafasi nzuri kwa mama.mgogo kazi anayo
Tunasubiri siku hizi 7 atashinikizwa na chama ajiudhuru au ? Bunge likiamka kutokuwa imani nae nini itatokea ? Au saa hii yuko Dar anamsaka JK akampigie magoti Mama ? Akipiga Magoti ataweza kufanya kaxi yake ipasavyo ? Mean kusimamia serikali ?
 
Moja ya watu napenda wadhalilike wakiwa hai ni ndugai maana kadhalilisha watu wengi na kamati yake ya maadili hakujali utu wao ndio maana leo watu hawamtetei wanaona fresh tu akomae nalo, unajua ndugai alimdhalilisha Prof Assad, Gwajima, Mayala, Jerry Silaa, Juma Ulimwengu na wengine wengi
ewaaaa tuko pamoja
 
Katika kitu Job Ndugai Anawahitaji wapinzani ni wakati huu! Leo nasema anajuta kuwa mmoja wa watu waliosababisha upinzani kipokonywa haki yao kuwabeza na kudharilisha, sasa leo yamemkuta ambayo akuyategemea!

Hivi leo kungekuwa na upinzani angejiegemeza ila hakuna upinzani na leo anautamani katika kikao cha bunge lijalo! Angalau ungemliwaza kwa kurusu hoja zao, leo wote watamkimbia kama maiti isiyokuwa na mwenyewe! Kwakuwa hakuna wa kuthubutu kumubeba kila mtu anawaza 2025 itakuwaje nikijiingiza?

Hao wenyewe Sukuma Gang wameishaanza kuingia ubaridi sembuse wana wa Samia? Kosa lake nikutokuwa na msimamo kama kiongozi wa Muhimili angekaza siyokusema waneediti mara kwasababu ya kabila langu Mimi Mgogo hapo Job ndipo ulipo chemka. Tusubiri yajayo.
Mungu ana njia nyingi za kutoa adhabu. Huyu mgogo, alitumia hila kumkuza Lissu, ona aibu inayo muandama.
 
Dah! Mzee wetu SPEAKER hali tete kwa sasa, nani ataonyesha vividly kuwa upande wake angalau kumfariji? Binafsi niliwaza sana kuhusu usemi wake, alifaham fika POWERS alizonazo mama kikatiba na mifano ipo! unawezaje kupata guts kusimama with confidence na kusema vile? Watu pekee wa kumfariji kipindi hiki walikuwa wa upande wa pili lakini ndiyo hivyo kama mdau alivyosema hakuwataka nyumbani kwake. Ngoma ni ngumu kweli kweli….. chonde chonde tumuombee regardless.
Siku zote ukitaka heshima simamia ethics, lakini ukikubali kutumiwa kuvunja sheria, kanuni au taratibu imo siku itakucost.

Kwa maoni yangu tangu enzi za Spika Sapi huyu wa sasa ndiye Spika aliyepwaya kuliko wote katika kiti hicho. Miswada mingi mibovu ilipitishwa kuwa sheria wakati wake. Historia itamkumbuka kwa hilo.
 
Nina familia jamani naombeni mnisamehe ndugu Watanzania 🥲
JamiiForums1197452562.jpg
 
Tunasubiri siku hizi 7 atashinikizwa na chama ajiudhuru au ? Bunge likiamka kutokuwa imani nae nini itatokea ? Au saa hii yuko Dar anamsaka JK akampigie magoti Mama ? Akipiga Magoti ataweza kufanya kaxi yake ipasavyo ? Mean kusimamia serikali ?
Hakuwahi kufanya kazi ipasavyo, hivyo hatojali kutofanya kutofanya kazi ipasavyo.
 
Back
Top Bottom