Spika Ndugai: PhD zina manufaa kwenye kufundisha na kutafiti lakini siyo bungeni, Dkt. Ndugulile aliwahi kumuita Waziri Profesa Ziro

Spika anatetea kile kilichopo kwneye jimbo lake. Ni wivu tu. Ameshindwa kuwashawishi watu wake wasome na wapige hatua, sasa anaona nongwa kwa majimbo mengine ambayo yametoa watu wengi wasomi.
 
Aisee kazi ipo kama spika anaongea hivyo huku vijiweni si ndio kuna pumba balaa...wazungu wakisikia hivyo wanandaa mikataba haraka haraka sana wakijua wale watapiga makofi na kupitisha tuu...
 
Yaani mama alivyowaambia waache "kudemka" hawakummuelewa??
 
Kwa tanzania ya kipindi kifupi kilicho pita ni kweli huo uprof na hats udoc ulipoteza Mana keanu walilazimishwa kutumikia na kufikiri kwa kutumia tumbo badala ya akili na mifano mingi tu ipo,akina leproffeser yule wa chama moja wapo,yule wa jalala na wale waliojazwa kwenye sii hasa katika kipindi kifupi kilicho pita,au wale waliotumiwa katika sii hasa wakiwa kwenye taaluma zao.
 
Ila darasa la 7 ku Hustle mpaka kupata ubunge hiyo nayo ni zaidi ya PhD.Ni kitu ambacho kimewashinda wasomi wengi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…