Nilisoma na Ndugai na Bana UDSM, wote wakiwa wametuzidi umri. Ni kati ya watu waliokuwa wakidharauliwa sana kutokana na uwezo mdogo kimasomo, huku wakijifanya wajuaji.Jamaa shuleni hakuwa mvivu ni kipanga, na huko chuo alikuwa mwanafunzi bora
Ni uwongo mukubwa kuwa alikuwa mwanafunzi bora. Pekee ninachokumbuka alikuwa akisema, 'mnanidharau, mimi nitakuwa mbunge. Mzee Malecela amesema nije kusoma ili anisaidie, baadaye nuwe mbunge'.