Spika Ndugai: Lissu hana kibali cha kuishi nje ya nchi, amtaka arudi mara moja Tanzania

Mtu aliyetakiwa kufa leo anatakiwa arudi bungeni... kweli wajinga ndio wako ccm_TWAWEZA
 
Mwambie huyo wakili aende akachukue posho yake na aombe kuteuliwa ubunge kupitia viti maalum.
Anadhani akivuliwa ubunge kwa hila ndio atashindwa kuongea au kuishi?
 
Alivyokuwa anasoma Moringe Sokoine alikuwa mcha Mungu kweli kweli. Nini kimemfanya awe mnafiki siku hizi!!!
 
Back
Top Bottom