Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,273
- 50,091
Afadhali na wewe umetambua hili
Afadhali na wewe umetambua hili
kuna ISIS na SISIS chunguza vizuri!Duuuuh hadi wewe? kweli siku zikifika hata ibilisi hubadirika na kuwa malaika
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni walewale Mkuu, wote wanalumumba
Ndugai ujue fika kuwa na wewe utakufa! Kumbuka kuna kifo na wewe utakipitiaHii ni Katika ule muendelezo wa kauli ya Spika kumtaka lissu arejee nchini kutokana na kwamba hana kibali cha kuishi nje ya nchi,la sivyo atajikuta yupo nje ya uwanja.sasa hivi spika anasema "Lissu asubiri muziki wangu" huku TL naye akijibu mapigo "usijaribu kuuzima moto kwa petroli,utapotea"
Je,nini kitatokea Lissu ataucheza muziki wa Spika au Ndugai atapotea kwa moto wa petroli wa TL? usikose toleo lijalo....
View attachment 1001634
Huyo siyo ISIS ujueDuuuuh hadi wewe? kweli siku zikifika hata ibilisi hubadirika na kuwa malaika
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi naona swala la moto tutajua muziki ukiisha, lakini kwa sasa mzee kifimbocheza anaucheza muziki wa TAL! Sasa hivi Yule jamaa ukimwacha anapata faida na ukimpiga anapata faida kubwa! Anakaa mahali panitwa “win win situation”!Hii ni Katika ule muendelezo wa kauli ya Spika kumtaka lissu arejee nchini kutokana na kwamba hana kibali cha kuishi nje ya nchi,la sivyo atajikuta yupo nje ya uwanja.sasa hivi spika anasema "Lissu asubiri muziki wangu" huku TL naye akijibu mapigo "usijaribu kuuzima moto kwa petroli,utapotea"
Je,nini kitatokea Lissu ataucheza muziki wa Spika au Ndugai atapotea kwa moto wa petroli wa TL? usikose toleo lijalo....
View attachment 1001634
SISIS vs ISIS?Duuuuh hadi wewe? kweli siku zikifika hata ibilisi hubadirika na kuwa malaika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamalizana na CAG?Kuna maisha nje ya siasa na ubunge,kuna utu na ubinadamu.Vyeo ni zawadi ya maisha isiyodumu.Lakini wema na utii kwa hisia za maumivu ya wengine hudumu dahari kwa dahari.
Madaraka hulevya kuliko kiriba cha mvinyo,na mning'inio wa madaraka hukawia kuondoka mpaka pale utakapohuhudia madaraka hayapo katika mikono yako.
Huyu alipaswa kuonyesha muhimili wa bunge ni eneo la kujitegemea bila kufuata midundo ya Serikali,lkn yeye sasa anatuonyesha wazi kuwa kuna mahali anatumwa.Mbunge wa bunge lako aliyepigwa risasi wakati wa vikao vyako,hujamtibu kwa mujibu wa sheria,hujamjulia hali wala kumpa pole,leo unaibuka kumshambulia??
Kweli wote tu wa chama kimoja,lakini nadhani tunatofautiana katika utu na kuhimili madaraka.Inasikitisha sana,huyu anadhani ubunge ndio maisha,kumbe kuna maisha kabla na baada ya ubunge.Wakati akiwa muhifadhi wa Wanyamapori,wengine walikuwa kwenye hii tasnia muda.Kutoka kwenye uhifdhi mpaka Uspika anaona kawa mkuu wa pepo.Alijisemea Iron Smith "You can remove a person from a bush,but you can not remove a bush's mentality from a person".
Alikuwepo Samuel,mbabe na jeuri,aliitikisa serikali na kashfa ya Richmond,kwa visasi vya madaraka,akatuchepushia mchakato wetu wa Katiba Mpya kwa ahadi za kesho,akiwa Urambo anaomba kura za mkewe,alituhakikishia yule wa Monduli si wa kumpa dhamana maana ana afya mgogoro.
Haikupita miaka miwili,alisafirishwa daraja la kwanza katika ndege kwenda kwenye matibabu,akiwa kwenye daraja la juu la kifahari la ndege,kwenye mvinyo na huduma za VIP,lakini alirudi chini ya "boot" la ndege,si tena kama abiria,bali kama "mzigo".Na juu la kasha lililohifadhi mwili wake,alifunikwa na gunia ili asitoe harufu,na juu palikuwa na maandishi "These are the remains of Mr S.J.S".Yaani haya ni mabaki ya S.J.S.
Yaani hakuwa yule tena aliyeondoka kwa daraja la kwanza,bali mabaki na masalia yaliyokuwa treated kama mzigo,wakati anaondoka alipita eneo la Wageni maarufu VIP,lakini wakati wa kurudi,alipitishwa eneo la mizigo,ambapo alichanganywa na mizigo kama TV,radio na makasha ya bidhaa mbalimbali.
Huu ndio mwisho wa kila binadamu,licha ya kiburi na majigambo yetu ya vyeo na mali.Sisi tutakuwa mabaki,na tutaoza,huku nyuma,yatazungumzwa yale tuliyowahi kuwafanyia wenzetu wakati tukiwa hao.
Tuandae kesho yetu iliyo njema,itakayobaki katika maandishi na kumbukumbu bora kwa ajili ya uzao wa viuno vyetu.Tusiwaachie watoto visasi vinavyotokana na sisi kununua "chuki ya kijamii".
Hii ni aina ya chuki ambayo mtu huitengeneza kwa kumchukia mtu mmoja ambaye ana mtiririko wa watu wanaomuonea huruma hata kama hawajuani,yul ni msumbufu sana,alitupa shida,na hata mie nilimuona kama "kikwazo",lakini kwa sambulizi lile,nami nilijiweka katika nafasi yake,na niliingiwa na huruma.Huruma inayoweza kumeza itikadi na mlengo wangu wa kisiasa.Ninaamini,kabla ya itikadi na mlengo wa kisiasa,kuna utu na maisha yanayoakisi ubinadamu.
Hata Simba humuonea huruma ndama wa nyumbu aliyetoka kuzaliwa,huruma kwa wanyama wasio na utashi,na sawa na ukatiri wa binadamu aliyepewa akili na utashi.Mungu atusaidie
Kuna maisha nje ya siasa na ubunge,kuna utu na ubinadamu.Vyeo ni zawadi ya maisha isiyodumu.Lakini wema na utii kwa hisia za maumivu ya wengine hudumu dahari kwa dahari.

Bahati mbaya akili hazinunuliwi, kukodiwa wala kuazimwa.