Spika Ndugai kashasahaulika pesa wanakula wengine!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,585
Reaction score
14,903


Spika ndugai: Kasha sahaulika pesa wanakula wengine!. Mafao makubwa alipewa na akafikiri atakuwa mbunge na kujiona ni Mungu mtu sasa ni mwendazake

Tendeni haki! somo.

wapenda maraka hawakusubiri



Tenda Mema ukiwa hai

 
Kwahiyo unajaribu kusema nini?

Hata wewe unayejifanya mwema ukifa mkeo atakuwa hela na mali zako na mchepuko wake tena hata nyumba yako huenda akauza
 
kifo ndo mwisho wa ulimwengu, Na utasahaulika, same kama ulivokua haujulikani ulivokua manii kwenye korodani za baba ako
 
kifo ndo mwisho wa ulimwengu, Na utasahaulika, same kama ulivokua haujulikani ulivokua manii kwenye korodani za baba ako
Ndio mwisho wa story ya mtu, after that maisha yanaendelea kama kawa

Tofauti ni kuwa ita tegemea enzi za uhai wako ulitenda nn cha watu kuendelea kukumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…