Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,703
- 218,240
Ukisikiliza mjadala huu utagundua kuwa kumbe vijembe na kushambulia watu kunakofanywa na "darasa la saba" hawa yaani Mbunge Lusinde wa Mvumi na Msukuma wa Geita kuna baraka za Spika Ndugai na ni mkakati wake anaotumia (kwa vile wana uwezo wa kubwabwaja lakini hawajitambui) kuzima kile wasichokitaka au kumuumbua mtu ndani au nje ya bunge.
Ndio maana hawa hata waende nje ya kanuni za bunge hawazuiwi wala kuonywa.
Sasa Spika kama anaweza kutumia hayo madafu kwa interest zake bungeni "heshima" hilo bunge iko wapi tena?
Umechelewa sana kulijua hili !