Spika Ndugai: Askari nikisema mbunge atoke akikaidi mpigeni nawaruhusu

wabunge nao wakianza kujihami isiwe shida sasa,kiongozi mkuu wa serikali zero brain,bungeni zero brain daahh hii nchi kizaazaa lakini sio mbaya kisicho kuuwa kinakukomaza kiaskari itazoeleka na itafika zamu yetu nasisi tutajifunza ukipigwa unarudishia na wewe
 
Hao askari inabidi kuwakabidhi kwa Malema ili awape discipline. Wabunge wa EFF south africa hawatolewi bungeni kifala japo wapo wachache sana. Ni ngumi mtindo mmoja. Ila wakati mwingine unaweza kukufuru Mungu na kusema kwanini hukumchukua mtu huyu wakati alikuwa kwenye machine miezi minne? Anyway, hiyo ni kazi yake Mola sipendi kuingilia.
 
Back
Top Bottom