Spika kuambiwa fala kwenye mic ni kosa la jinai lakini Mnyika kuitwa Mwizi kwenye mic hiyohiyo spika anasema hana muda wa kusikiliza kila kinachosemwa mara maneno hayako kwenye hansard ila fala aliyasikia typical double standard benaviour!Hapa kuna kudharaulika kiti cha spika. Spika ni mtu mkubwa saba katika hii nchi, anashikilia moja ya mihimili mitatu ya dola. Hata kama wewe ni mpinzani na kuna kitu kimekukera heshimu tu kiti cha spika. Kiti cha spika kikiheshimika hata anayekalia kiti hicho atajiheshimu. Linganisha na enzi za Pius Msekwa na Samuel Sitta, kiti cha spika kiliheshimika na spika hakuwa na tatizo na wabunge. leo hii mtu anatukana mubashara bungeni eti spika ni fala au sijui nini... Mara mwingine anakataa kutii amri ya spika mwenye mamlaka yake unategemea nini? Spika nae ni mtu na ana mihemuko yake, lazima afure pale kiti chake kinapodharauliwa. Kwa Suala la Mnyika juzi hekima tu ingetumika. Mnyika angekaa tu kimya kama alivyoamriwa wala asingetakiwa kutoka nje. Tena pale amri ya kutoka nje angejongea mwenyewe nje nani angemgusa? Angeonesha ana hekima na kila mtu angekuwa upande wake. Lakini kwa sasa mtu yeyote anayemtetea mnyika ni kwa sababu tu ya mihemukio ya kisiasa, kiukweli mnyika alidharau kiti cha spika.
Kumbuka aliyesema mnyika mwizi sio spika. vilevile si kila aliyesikia sauti hiyo alijua nani kasema. Cha msingi utaratibu ungefanyika kufuatilia sauti ilitoka kwa nani, kwa teknolojia tuliyonayo angejulikana tu. Isingekuwa busara hata kidogo kusitisha shughuli zingine za bunge na kuanza kufuatilia nani kasema maneno yale.Spika kuambiwa fala kwenye mic ni kosa la jinai lakini Mnyika kuitwa Mwizi kwenye mic hiyohiyo spika anasema hana muda wa kusikiliza kila kinachosemwa mara maneno hayako kwenye hansard ila fala aliyasikia typical double standard benaviour!
Kumbuka aliyesema mnyika mwizi sio spika. vilevile si kila aliyesikia sauti hiyo alijua nani kasema. Cha msingi utaratibu ungefanyika kufuatilia sauti ilitoka kwa nani, kwa teknolojia tuliyonayo angejulikana tu. Isingekuwa busara hata kidogo kusitisha shughuli zingine za bunge na kuanza kufuatilia nani kasema maneno yale.Spika kuambiwa fala kwenye mic ni kosa la jinai lakini Mnyika kuitwa Mwizi kwenye mic hiyohiyo spika anasema hana muda wa kusikiliza kila kinachosemwa mara maneno hayako kwenye hansard ila fala aliyasikia typical double standard benaviour!
Heshima halilazimishwi.Usipojiheshimu hutaheshimiwa.Hapa kuna kudharaulika kiti cha spika. Spika ni mtu mkubwa saba katika hii nchi, anashikilia moja ya mihimili mitatu ya dola. Hata kama wewe ni mpinzani na kuna kitu kimekukera heshimu tu kiti cha spika. Kiti cha spika kikiheshimika hata anayekalia kiti hicho atajiheshimu. Linganisha na enzi za Pius Msekwa na Samuel Sitta, kiti cha spika kiliheshimika na spika hakuwa na tatizo na wabunge. leo hii mtu anatukana mubashara bungeni eti spika ni fala au sijui nini... Mara mwingine anakataa kutii amri ya spika mwenye mamlaka yake unategemea nini? Spika nae ni mtu na ana mihemuko yake, lazima afure pale kiti chake kinapodharauliwa. Kwa Suala la Mnyika juzi hekima tu ingetumika. Mnyika angekaa tu kimya kama alivyoamriwa wala asingetakiwa kutoka nje. Tena pale amri ya kutoka nje angejongea mwenyewe nje nani angemgusa? Angeonesha ana hekima na kila mtu angekuwa upande wake. Lakini kwa sasa mtu yeyote anayemtetea mnyika ni kwa sababu tu ya mihemukio ya kisiasa, kiukweli mnyika alidharau kiti cha spika.
Uko biased kabisa!Mnyika alikosea kudharau kiti,ni kweli!Lakini spika alireact kupitiliza,haipaswi kwa kiongozi kuwa na mihemko ya hivyo!Kiongozi anatakiwa kuwa na hekima na busara!Ndugai ana disorder,maana hata wabunge walipotoka nje akamsifia Kibajaji kuwa yeye ni kiboko,kwamba kasababisha wapinzani wakimbie!Sasa kiongozi anakuwa na kejeli na vijembe namna hiyo,tena spika!!!!Its a shameHapa kuna kudharaulika kiti cha spika. Spika ni mtu mkubwa saba katika hii nchi, anashikilia moja ya mihimili mitatu ya dola. Hata kama wewe ni mpinzani na kuna kitu kimekukera heshimu tu kiti cha spika. Kiti cha spika kikiheshimika hata anayekalia kiti hicho atajiheshimu. Linganisha na enzi za Pius Msekwa na Samuel Sitta, kiti cha spika kiliheshimika na spika hakuwa na tatizo na wabunge. leo hii mtu anatukana mubashara bungeni eti spika ni fala au sijui nini... Mara mwingine anakataa kutii amri ya spika mwenye mamlaka yake unategemea nini? Spika nae ni mtu na ana mihemuko yake, lazima afure pale kiti chake kinapodharauliwa. Kwa Suala la Mnyika juzi hekima tu ingetumika. Mnyika angekaa tu kimya kama alivyoamriwa wala asingetakiwa kutoka nje. Tena pale amri ya kutoka nje angejongea mwenyewe nje nani angemgusa? Angeonesha ana hekima na kila mtu angekuwa upande wake. Lakini kwa sasa mtu yeyote anayemtetea mnyika ni kwa sababu tu ya mihemukio ya kisiasa, kiukweli mnyika alidharau kiti cha spika.
heshima inapewa anayestahili kwanza. Mtoto mdogo hawezi bishana na mtu mzima halafu ajitetee hajapewa heshima ndo maana anabishana. Ukiheshimu kiti cha spika nacho kitakuheshimuHeshima halilazimishwi.Usipojiheshimu hutaheshimiwa.
uko sahihi, Spika nae hakutakiwa kufika huko alikofika. Lakini kwa vile naye ni binadamu hakuwa na jinsi. Saikilojia yake ilimsuta kabisa kwamba kadharaulika na hana mamlaka yanayo heshimika. Kawaida tatizo la kisaikolijia huja na jawabu lake, alichokifanya yeye ni kujaribu kuridhisha nafsi yake kama kujifariji. Ni watu wawili tu kati ya kumi wangeweza kukaa kimya baada ya tukio lile. Spika si wakulaumu, hakuwa na namna nyingine ya kufanyaUko biased kabisa!Mnyika alikosea kudharau kiti,ni kweli!Lakini spika alireact kupitiliza,haipaswi kwa kiongozi kuwa na mihemko ya hivyo!Kiongozi anatakiwa kuwa na hekima na busara!Ndugai ana disorder,maana hata wabunge walipotoka nje akamsifia Kibajaji kuwa yeye ni kiboko,kwamba kasababisha wapinzani wakimbie!Sasa kiongozi anakuwa na kejeli na vijembe namna hiyo,tena spika!!!!Its a shame
Na alisema Dont dare me Mnyika akajibu am not daring you! Akasema ,"Toeni huyu mtu nje" sio Mtoeni Mheshimiwa Mnyika no! Halafu akawaita Wale askari , "Nyie askari gani nyie?"Hata namna alivyokuwa anamnyooshea kidole ni kama alikuwa anakaripia mtoto wake mdogo.Spika haifai awe n.a. hulka ya aina hiyo. Naye anadiriki kuona wengine hawajakomaa,ni aibu tupu.
Angejifunza uendeshaji bunge wa namna hii.Na alisema Dont dare me Mnyika akajibu am not daring you! Akasema ,"Toeni huyu mtu nje" sio Mtoeni Mheshimiwa Mnyika no! Halafu akawaita Wale askari , "Nyie askari gani nyie?"
Unamtetea mpuuzi!Kumbuka aliyesema mnyika mwizi sio spika. vilevile si kila aliyesikia sauti hiyo alijua nani kasema. Cha msingi utaratibu ungefanyika kufuatilia sauti ilitoka kwa nani, kwa teknolojia tuliyonayo angejulikana tu. Isingekuwa busara hata kidogo kusitisha shughuli zingine za bunge na kuanza kufuatilia nani kasema maneno yale.
Natetea heshima ya kiti cha spika na kukemea wanaopeleka matusi bungeniUnamtetea mpuuzi!
Afadhali umeandika unatetea kiti ila huyo mkalia kiti anahitaji busara. Umri na mambo yake haviendani. One sided heshima si heshima. Heshima ni nipe nikupe.Wahehe wanasema..." kaoko bita kaoko piluka... "!Natetea heshima ya kiti cha spika na kukemea wanaopeleka matusi bungeni
Kihehe kitamu eeeππAfadhali umeandika unatetea kiti ila huyo mkalia kiti anahitaji busara. Umri na mambo yake haviendani. One sided heshima si heshima. Heshima ni nipe nikupe.Wahehe wanasema..." kaoko bita kaoko piluka... "!
Sana! Mambo ya wahenga hayo! Hahahahaaa!Kihehe kitamu eeeππ