Spika Ndugai amekuwa kiongozi wa double standards

Spika Ndugai amekuwa kiongozi wa double standards

Kwa hiyo mleta Mada unakubaliana Na uo utovu WA nidhamu WA mdee Nambowe
 
Wasipo acha Siasa za Kivyama Ndani ya Bunge....Hii inch itazidi kuelekea kwenye Matope
 
Wanatukana kisha waachwe tu?ebo akili za wapi hizi mdee katukana kabisa alafu Leo mnakuja kumtetea nyie vipi?

Busara zimekosekana kwenye mwili wa mdee ninazani vipimo afanyiwe bangi inahusika
Hakuna aliyewatetea bali kinachoongelewa ni double standard katika kuchukua maamuzi,msikie Serukamba alichoongea hapo..'ooh come on,*** you..'.Ndugai kamsikia lakini kaishia kurembua tu mimacho yake.

 
Ni kweli ila vitendo vya Mdee na Mbowe ni vya aibu kwani hawawezi kutumia lugha ya staha
Ikibidi wapewe adhabu ya kuwatosha kutukana ni dalili za kuishiwa hoja na Kama alitukana Makonda sio mfano mzuri wa kuigwa
Mh Mbowe alitukana tusi lipi
 
Back
Top Bottom