Kibumbula
JF-Expert Member
- Mar 26, 2018
- 3,681
- 3,346
Hata kama utaandikaje.Bado msimamo wangu uko pale pale.Ukiona mtu ana fikra za kumtenda vibaya mwenzake,jua huyo hafai kwenye lolote zaidi ya uovu auwazao.Huna utofauti na Ndugai aliyempiga fimbo mwenzake halafu eti anakuwa spika wa bunge.Toa kwanza hizo fikra za uovu,ili uyaishi uyanenayo.Nje ya hapo wewe ni KENGE tu.Kwa bahati nzuri sina nia ya kukushawishi wewe kumkubali Magufuli kwa sababu jinsi nilivyo kusoma inaonekana wewe Uli katika shimo la giza kuliko unao dhania wao ndiyo wao ndiyo wako kwenye shimo hilo.
Always mtu asiye jua mambo vizuri au mtu akiwa mjinga hukumbilia kutoa kauli za matusi na kumkejeli mwenzake. Sasa swali la kujiuliza ni kwa nini inatokea hivi? Jibu lake ni very simple, ubongo wake utakuwa una defekt kwenye Genes. Ina maana kuwa mtu wa aina hiyo hana uwezo wa kusoma maandishi vizuri na kuyaelewa kiasi kwamba akaweza communucate na binadam wenzake kwa kauli ambayo inaeleweka.
Watu kama hao wajerumani wana msemo ambao wana utumia. "Missbidung" (malformation). Watu au viumbe ambao wana characteristics za aina hii ndiyo wanaitwa binadam kwa vile wanaonekana wako kama sisi, lakini kiundani ni viumbe wengine kabisa. Ni "mutant".
Kwa hiyo mkuu siku shangai na wala sikukasirikii kwa kunitukana wakati hunijui na mimi sikujui ila nacho weza kukueleza na nakuthibitishia ni kuwa wewe sio kiumbe kama sisi na mtu wa aina yako siwezi kwa masikitiko makubwa kumwita binadam bali ni kiumbe nisicho kielewa. Binadam ana wasiliana vingine na wenzake, lakini sio wewe.
Nime ku-disqualify na kukuondoa katika group la watu wanaojiita binadam na kukuweka katika group la Alien ambaye bado anatakiwa afanyiwe uchunguzi kujua uko katika class gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app