Spika Ndugai adai kuwa wapinzani wamewajaza watu wao mitandaoni ili wawatukane viongozi wa serikali!

Ni baada ya Mange Kimambi kutuwekea wazi matibabu ya speaker India na ugonjwa unaomsuumbua.

Speaker alikataa kulazwa wodini. Madaktari walimtibu akiwa 5* hotel. Huko alichukua wing nzima yeye na wasaidizi wake. Mlipaji wa gharama ni kodi zetu.
Asante kwa kumbukumbu mujarbuu.supika mpiga marungu eti leo hii na yeye anao udiriki wa kujifanya mzalendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya radio,tv stations na magazeti kuamriwa kuimba nyimbo za litukuzwe jiwe kuu litokalo CHATO.sasa wananza jitihada za huku mitandaoni!!!,pole yao aisee huku wakumbuke uhariri wa habari ni kichwa cha mwandishi mwenyewe.

Supika alitegemea wote tuimbe ule wimbo wa jiwe anafanya kazi kwelilil hadi analala na ma file kwa kitanda.hapana huku tunatumia akili zetuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo nakukatalia kabisa....

Mfano halisi ni Mimi mwenyewe silipwi hata shilingi 10 na Chama chochote cha upinzani, ila nasukumwa na uzalendo wa kuipenda nchi yangu, ndiko kunakonisukuma nitoe hoja hizi

Inatubidi tufuate maandiko ya kwenye Bible katika amri kuu ya pili, inayosema "mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe"

Hivi kwa mzalendo wa kweli utakaa kimya kuona mathalani Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, akimiminiwa risasi zaidi ya 30 kwa lengo la kumuua, mchana kweupe tena kwenye makazi ya viongozi wa serikali na sasa ni zaidi ya mwaka mmoja, hakuna hata mtu mmoja aliyekamatwa kwa mahojiano??

Hivi IGP anaendeleaje kuwepo ofisini wakati jukumu namba moja la Jeshi letu la Polisi ni kulinda uhai wa wananchi wake??
Off course siyo wote wanao comment wanalipwa, ninachomaanisha na ambacho uhenda ukijui ni propaganda zenye budget na mipango maalumu ya kuinfluence mass media na print media. Katika hili kuna watu wengi tu wasiojielewa wanajikuta wanaimba nyimbo wakizania wako sawa na waimbishaji, kumbe ni mateka wa propaganda za waimbishaji .
 
Eti pango la uswahilini, unazeeka vibaya mzee!! Umekuja na porojo nyiiiingi eti nimesoma Mara nimeoa mzungu, ushawahi niona nakuja hapo kwa shemeji ako kuomba chakula.

Kafie mbele huko na ukome kufatilia na kushobokea watu usiowajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe utazeeka vile vile tena ukiwa na bahati mbaya huo uzee wenyewe sijui kama utauona. Kwa jinsi inavyooneka hivi sasa akitoka Magufuli tu mtachinjana kama kuku. Nyie subirini tu. Kama hujajua kuwa watu wako katika mkao wa kula wanasubiri Master atoke. Utapata tabu sana.

Wewe unafikiri utabaki salama na elimu yako ya Ngumbaru? Utakimbilia wapi wakati huna elimu ya kujivunia ambayo inatambulikana kimataifa. Wewe endelea tu kupoteza mda wako kwa kuwashabikia wenda wazimu wako akina Tundu Lissu.

Wewe unauhakika Tundu akiwa Rais nchi itakuwa salama kweli? Endelea ku Dream mchana na kuwa na matumaini ya maisha mazuri baada ya Magufuli.

Pango la uswahilini maana yake ni kuwa mko katika nchi ambayo mnadanganyana wenyewe kwa wenyewe bila kujua nini kina endelea.

Wewe unaweza niambia umeelewa kitu kwenye Interview ya Lissu na BBC? Naomba niambie kitu substantial ambacho amekisema ambacho wewe utasema, wow? What a magnifecent interview it was? Huko ndiyo kudanyana na kupeana matumaini ambayo hayapo na hayatakuja.

Mwana siasa wa leo ni yule mwenye Vision. Ni kiongozi ambaye ana ahidi na kutekeleza. Ahadi ni deni. Ukiangalia Magufuli hata kama unamchukuia kwa sababu zako binafsi, lakini ana deliver kulingana na uwezo wake. Trump pia kama Magufuli iliwaahidi waamerika kuwa atajenga ukuta na atajenga ukuta wa kuwazuia waamerika ya kusini wasiingie nchini mwao kiholela.

Haya ndiyo matendo ya viongozi wa leo. Na sio viongozi wa kusema sema uongo wakati hata njia za kudumusha uchumi hana. Ndiyo Lissu. Ana ruka ruka tu bila msimamo. Wewe katika karne 21 mtu bado anakudanganya kuhusu haki za bindam wakati kila mmoja ana nafasi ya kupata Informations zote anazo zihitaji kihanjani?

Tundu Lissu nafikiri baada ya kunusurika kifo ameamkia kwenye ulimwengu mwingine. Nafikiri njozi zake zilikuwa za mateso ya mababu zetu waliochukuliwa enzi za utumwa. Yaani nashindwa kuelewa nchi yenye uhuru wa habari na ambamo watu wanaamua kitu cha kufanya unaueleza ulimwengu eti hakuna katiba imara na haki za binadam?

Tundu Lissu nafikiri kitu kimoja bado hajaelewa. Nchi nyingi zilizoendelea kama Marekani, uingereza, ujerumani na kadhalika zina vyombo vinavyoitwa National Inteligent Security Agencies ambavyo vina kazi moja tu ya kukusanya habari za kutoka kila pembe ya ulimwengu na kuzihifadhi kwa ajili ya kureport kwa serikali au vyombo vinavyo husika na usalama.

Sasa kabla Tundu Lissu hajafungua kinywa chake kuutangazia ulimwengu juu ya kukiukwa kwa haki za binadam Tanzania, hivyo vyombo binakuwa tayari vimesha maliza kazi zao za verification kama upayukaji wa Lissu ni kweli au la hasha. Wakiona sio kweli wana mwangalia tu kama kikaragosi. Yeye anajiona anaakili kuliko wote, kumbe wenzake wanamwangalia tu. Wakiwa peke yao wanamcheka jinsi alivyo zezeta.

Unajua maarifa ya kisayansi ulimwenguni ni kitu kizuri sana. Kuliko mambo ya siasa. Angalia hapa wataka wa Paulo Makonda kwa Lissu.

Mpaka hapo nishagundua kuwa wewe ni wale wale walio karibu na mfalme Juha.

wewe kweli una muda kuandika yote haya ni prove umeguswa...pole weee!
 
Ana ushahidi gani kama ni wapinzani? Na yy ajaze kama ni rahisi
Katika Press conference aliyoifanya Jana jijini Dar, Spika Ndugai alisikika akisema kuwa vyama vya upinzani vimewajaza watu wao mitandaoni kwa lengo la kuwatukana viongozi wa serikali, huku wakitumia ID za "anonymous"

Nimekuwa nikijiuliza hivi ni watu gani waliojazwa mitandaoni na wapinzani kwa ajili ya kuwatukana viongozi wa serikali??

Hivi yeye Spika anapoona wananchi wengi mitandaoni wakiwa upande wa upinzani anadhani kuwa wanalipwa na vyama vya upinzani kwa ajili ya kuifanya kazi hiyo??

Hivi hawezi kudhani kuwa wananchi hao wanasukumwa na uzalendo wao na kukemea maovu yanayofanywa na viongozi wa serikali ya awamu ya tano??

Hivi Spika Ndugai haoni namna viongozi wa awamu ya tano walivyoamua kuiminya demokrasia ambayo imejengwa kwa juhudi kubwa kwa kipindi cha zaidi ya miaka 25 hivi sasa na hivyo kuisababisha nchi yetu kuelekea shimoni??

Hivi yeye Spika Ndugai hajawaona wanaotumia ID "anonymous" kwa ajili ya kuitetea kwa nguvu zote serikali ya awamu ya 5 hata kwa pale inapoonekana dhahiri imeboronga??

Hadi kauli ya 'Buku 7 Lumumba Club' imeibuliwa humu mitandaoni, hivi hadhani kuwa Chama chake ndiyo bingwa wa kuwajaza watu wake humu mitandaoni kwa ajili ya kuwatetea kwa nguvu zote viongozi wa serikali hata pale wanapoonekana wameboronga dhahiri??

Hadi Spika Ndugai amejitumbukiza katika "battle" hii ya serikali VS upinzani, ujue mambo ni magumu sana kwa timu ile inayoongozwa na "jingalao"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama matamshi pekee yangekuwa ni majibu ya kum-suspect mtu kwa kosa la jinai basi hata wewe ambaye Uli kwenye soil ya Tanzania pia suspect no 1, kwani haijathibitishwa kuwa wewe una Alibi.

Mleteneni kwanza Dereva wake halafu tuangalie maswala mengine. Sijaona humu mit hata mmoja akizungumzua au kulilia dereva wa Lissu kutoa ushahidi. Kwanini afichwe? Kama nyie hamtaki kushirikiana na serikali yetu katika harakati za kupata ufumbuzi wa majangili wa Kobe wenu, kwanini mnailazimisha serikali kufanya hivyo? Nyie pia mnawajibu wa kutoa ushirikiano. Nchi ni yetu sisi wote na janga ni letu sisi wote. Toeni ushirikiano wa kumketa dereva wake Lissu asihojiwe na wahusika ili tuweze tatua hilo tukio.

Kwa manzingira haya dereva wake ni suspect no 1.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ngoja nikuulize swali dogo tu, hivi tuimagine kuwa katika lile tukio la kushambuliwa Tundu Lissu risasi, dereva angekuwa amekufa, je Jeshi la Polisi ndiyo lingekuwa limefikia mwisho wa upelelezi wao??

Acheni kutoa propaganda zenu ambazo hata mtoto anayesoma chekechea wanajua mnamdanganya........

Tukio mmelifanya nyie, halafu mnaleta propaganda kuwa bila kuwepo dereva wa Lissu, upelelezi wenu hauendelei!!
 
Hivi ni kweli hawaelewi kinachoendelea au? Au huwa hawajichanganyi na watu wa kawaida wanaoweza kuwaambia ukweli, wanategemea ripoti tu kupelekewa. Mtu anayekupeleka ripoti atakuletea kile unachopenda kusikia hawezi kukwambia ukweli.

Ndo hivyo watu wanatetea ugali wao ukiwauliza lazima wakwambie raia wote wapo upande wetu hao unaoona wanalalamika wanalipwa na wapinzani wamepangwa, na wewe kwasababu unapenda kusikia hivyo unaridhika.

Wakitaka kujua ukweli ni rahisi sana, waachie tu demokrasia ya ukweli watu wawe huru kuongea na kutoa maoni yao, kisha waweke tume huru ya uchaguzi hapo ndo watajua raia wanataka nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu siku ile huyu Ndugai alipotetea hoja ya Bunge kutomgharamia matibabu Tundu Lisu, nilimdharau nakumwona mtu aliyepungukiwa na anayetakiwa kuonewa huruma kwa kukosa sifa za kiongozi mwenye busara.

Ikimpendeza Muumba wetu, ampe japo hekima ndogo sana, akajua thamani ya uhai na japo kutambua misingi ya procedure. Kama kiongozi hajui kabisa chochote, hata zile basics za kutambua kwa nini tunakuwa na procedure. Kwa ujinga tu anabakia na maelezo kuwa kuna procedure zinazoelekeza lazima anayehitaji matibabu aanzie Muhimbili, unajiuliza kama kweli katika Bunge zima kumekosekana watu wenye uelewa.

Ni aheri Spika angekuwa Mzee Chenge, yule pamoja na makandokando yake lakini angalao tuna uhakika ana akili ya kiwango cha juu na ana uelewa wa kutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ngoja nikuulize swali dogo tu, hivi tuimagine kuwa katika lile tukio la kushambuliwa Tundu Lissu risasi, dereva angekuwa amekufa, je Jeshi la Polisi ndiyo lingekuwa limefikia mwisho wa upelelezi wao??

Acheni kutoa propaganda zenu ambazo hata mtoto anayesoma chekechea wanajua mnamdanganya........

Tukio mmelifanya nyie, halafu mnaleta propaganda kuwa bila kuwepo dereva wa Lissu, upelelezi wenu hauendelei!!
Sikiliza mkuu katika maswala ya usalama kila mwananchi anawajibu wa kujilinda na kutoa ulinzi kwa mwananchi mwenzake. Kama haya mambo hayafanyiki kwetu ni kitu cha kujiuliza ni kwa nini?

Umesema mwenyewe kuwa ni assumption tu, lakini ukweli ni kwamba dereva ni mzima. Sasa kuna shida gani ya yeye kwenda kutoa statement ya yaliyotokea au kukiona kwa wahusika? Kuna haja ya ku-debate tena hapa?

Kuna maswali mengi sana ya kumwuliza dereva hata Lissu mwenyewe. Siwezi amini kama Lissu atashindwa kuwa na kumbukumbu ya matukio kabla ya kujeruhiwa. Kama inavyo sadikika dereva yuko salama, je alitumia uwezo gani wa yeye kutoka salama kwenye silaa ambayo ili mimina risasi 36 kwa mpigo? Hiyo ni wonder. Na kama ni mahajabu basi watanzania wanataka kujua maajabu ya aina gani? Nina amini Lissu na dereva wake wana jua mengi ya kutueleza.

Nchi za wenzetu zingekuwa zimewabana watu wanao husika na kitendo cha kumficha dereva wa Tundu mpaka huyo dereva angepelekwa kwenye vyombo vinavyo husika kwaajili ya kutoa ushirikiano. Sielewi kwa nini Tanzania ni vigumu? Aisee! Tuko nyuma Sana.

Baada ya kusema hayo, sielewi kwa nini hayo maneno yako ya kufikiri kuwa watu wanafanya Propaganda yanakujaje? Mbona una twist maneno? Mfanyaji wa Propaganda ni Mkoma wenu Lissu na sio mwingine. Jiulizeni hivi sasa yuko wapi? Na anafanya nini?

Mtu anaye taka kuwa Rais wa watanzania anaweza kweli kwenda Uingereza kumtukana Rais ambaye amepigiwa kura na wananchi na kuidhalilisha nchi yetu kwenye mitandao ya kimataifa? Mit kama huyu anategemea nini? Au malengo yake ni nini? Anategemea kweli kupata sympathy kutoka kwetu kwa mdhalilisho hayo? Kwa hali hii ningeomba Rais Magufuli kuwa kama Putin, nafikiri angekiona cha mtema kuni.

Nashanga watu anao wahita wakoloni ambao kwa kauli yake mwenyewe walitulazimisha kufanya kazi bila kutupa uhuru leo watu hao hao ndiyo anao wafuata na kuwalilia wamsaidie awe Rais wa watanzania. Kama huu sio unafiki mtu ata uita nini tena?

Ina maana sasa wamebadilika na kuto kuwa wakoloni tena? Wanaweza wasiwe wakoloni kama zamani, lakini kipindi hiki cha mvurugano wa kiuchumi wanaitwa "Neocolonialism" Na ma-neocolonialism ni wabaya zaidi kuliko hata wakoloni wenyewe. Kwa sababu humo ndani kuna mabepari wenye mitaji mikubwa na lengo lao ni moja tu nalo ni ku-maximize the Profit. Watu wa haina hii wajerumani wanawaita"Heuschrecken" (Grasshoppers)Mnajua kazi ambayo Grasshoppers wanaifanya, wanafyeka kila kitu bila kujali maisha ya watu wanaonwahujumu.

Kwa vile wengi wenu nchini Tanzania hamjui mambo ya kiuchumi ulimwenguni yanavyo kwenda, mnabaki kushabikia na kushangalia tu wenzenu wanavyo jinufaisha na mali zenu na haki yenu. Na watu wanao tupeleka huko ndiyo hawa ambao manawaandaa leo kwa ushabiki mkubwa, akina Lissu. Ina maanisha yote tuliyo shuhudia wakati wa Rais Kikwete kuibiwa kwa makinikia bado hatuja jifunza kitu? Lissu anaenda kuwaleta hawa wanyama kama Doctor na msaidizi wake walivyo walete vimpire kama kwenye Film ya "Dance of the vimpires". Angalia clip
Hivyo mnafikiri Lissu akisaidiwa na wazungu kuwa Rais wa Tanzania atakuwa na uwezo wa kuwazuia au kuwapinga katika harakati zao za kuihujumu nchi ili kujinufaisha wenyewe? Akithubutu kufanya hivyo mbona watamwondoa haraka sana. Mwulizeni Saddam Hussein kilicho mtokea.

Mimi nashangaa hawa watu wanao itisha mikutano karibu kila siku ni watu wa aina gani? Wakati gani wanafanya kazi?

Umeandika makala ndeeeeeefu halafu haina mantiki. Yaani umeandika upoyoyo. Tena unaonekana hta mwenyewe ni taahira maana hoja yako na unachokisimamia hakiwezi kusemwa na mtu y
Timamu.

Tuueni tuu kwani mnacho kibali cha kuishi milele???

Mbona Babu zenu na Bibi zenu walikufa?? Kwani walikua wakereketwa wa siasa?

Northing new in Word my friend.

Kama ulienda shule na kuwa makini huna sababu ya kulalamika. Lakini kama kisomo ndiyo cha ngumbaru nakupa pole!

JF sio Tweeter. Hapa wanakutana watu wenye facts na intelectuals. Watu walio pevuka na kukomaa kiakili na sio waswahili wa magengeni.

Angalia pumba ulizoziandika sasa kuna mtu kakuuliza kwamba humu ni wapi!!?

Alafu suala la ngumbaru kwani bado ipo?? Mi nnachokijua hyo mlisoma nyie wazee kuanzia miaka ya elf2 hadi na nne hapo kati taahira wangu unaileta hadi leo??

unajifnya unajua sana kumbe ndo unajitia uzinde. Slow down mkuu huu mchezo hauhitaji hasira

Hasira na wewe mnuka jasho la uswahilini? Wewe kama huna elimu ya juu ambayo inamwezesha mtu kupanuka mawazo endelea na maisha yako ya kijiweni. Usipende kutia hoja na watu walio elimika na ambao wamesoma na kujifunza mambo tofauti ya kimataifa.

Nyerere mwenyewe hamjui kwako ni historia ya kwenye vitabu tu, mtu kama wewe unataka kuniambia mimi kuhusu Lissu asiyejua kutofautisha kati ya ukoloni na utumwa? Hivi huoni haibu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom