Spika Ndugai adai kuwa wapinzani wamewajaza watu wao mitandaoni ili wawatukane viongozi wa serikali!


Angalia pumba ulizoziandika sasa kuna mtu kakuuliza kwamba humu ni wapi!!?


Alafu suala la ngumbaru kwani bado ipo?? Mi nnachokijua hyo mlisoma nyie wazee kuanzia miaka ya elf2 hadi na nne hapo kati taahira wangu unaileta hadi leo??





unajifnya unajua sana kumbe ndo unajitia uzinde. Slow down mkuu huu mchezo hauhitaji hasira

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nitajuaje kama kila neno lako la pili ni "pumba"?

Kwa kuongezea tu, kwa watu ambao ni intellectual na ambao wamepata exposure ya maisha ya kwenye mataifa yaliyoendelea, huwezi sikia toka kwao kila hoja watu wanayo changia ni pumba, wanajaribu ku analyse hoja ili ieleweke kwa msomaji. Hoja ni hoja huwezi sema eti hoja ni ndefu au fupi. Utambue kuwa binadam tuko tofauti, kuna watu wanapenda kusoma na kujifunza mengi na kuna wengine hawana huwezo huo kama wewe. Mimi nimejaribu tu kukueleza sababu za kumwona Lissu ni mjinga.

Naomba nikuulize kitu, wewe umesha mwoona au kumsikia kiongozi wa nchi yeyote ile ya Ulaya au Amerika amekuja Afrika na kuanza kuikandia nchi yake kwenye vyombo vyetu vya habari, nchi ambayo imemsomesha na ambamo wazazi wake na shangazi zake wanaishi? Hutamsikia. Atakueleza mazuri yote ya nchi yake mabaya hakuelezi.

Lakini watanzania wanafanya hivyo. Hata CAG wetu naye anaenda Amerika na kuanza kusema mabaya kuhusu Bunge letu. Je umejiuliza kwa nini wanafanya hivyo?

Kwangu mimi hiyo ni ishara ya kuwa hawa watu wana matatizo ya kuheshimu sheria za nchi na viongozi wetu. Ni watu ambao wana tabia ya kipekee sana duniani. Sielewi inakuaje mtu anaweza mtukana kiongozi wake na kuidhalilisha nchi yake ambamo watoto na wajukuu zake wanaishi, huo ni mfano gani wa maisha? Hao kweli ni wazazi wa kuigwa na watoto na wajukuu zao?

Sielewi kwanini Lissu yeye anamwona Magufuli kama Rais ambaye amepindua nchi. Magufuli hakupindua nchi. Watanzania wamemchagua kwa kumpigia kura kwa sababu wao waliona anafaa. Lissu badala yake anaenda kueleza nje mambo ya uongo kuhusu serikali yetu na Magufuli ambaye ni Rais wake na kutoa kauli ya mambo ambayo hayajui na matokeo yake anachanganya kati ya ukoloni na utumwa.

Lissu alitakiwa kuwa ajue wakoloni ndiyo walio leta shule, hospitali, kilimo cha kisasa, kwa wakati ule, na kazi za ofisini ili sisi nasi tuweze kuwa na maisha bora na ya uhakika kama wao. Wakati wa utumwa mababu zetu hawakuwa huru, kwani hawakuruhusiwa kwenda shule na huduma za afya ni pale mabwana walipopenda kufanya hivyo vinginevyo ni kazi tu. Wakoloni walicho tunyima wakati ule ni position ya Ugavanor wa nchi. Lakini kulikuwa na mawaziri watanzania kama Nyerere na Kawawa.

Lakini wewe kijana wa leo unadanganywa na Propaganda za Lissu na kuamini anacho sema ni kweli, wakati kumbe ni uongo mtupu. Lakini kwa vile elimu yako ni ndogo huwezi elewa anasema nini? Kwa vile huna References za kuhakikisha kama anacho kisema ni kweli au sio, unabaki kumshabikia wakati unaona anataka kuangamiza nchi.

Mimi ambaye nusu ya maisha nimeishi nje na hiyo demokrasia na haki za binadam anazo zipigia kelele nimeziishi, naweza kutambua kuwa anacho kiongea ni pumba kama unavyo sema. Kwa sababu hajui kitu. Lakini wewe hujui kuwa hajui kitu hivyo sio rahisi kutambua. Hiyo ndiyo tofauti kati yangu na wewe.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni baada ya Mange Kimambi kutuwekea wazi matibabu ya speaker India na ugonjwa unaomsuumbua.

Speaker alikataa kulazwa wodini. Madaktari walimtibu akiwa 5* hotel. Huko alichukua wing nzima yeye na wasaidizi wake. Mlipaji wa gharama ni kodi zetu.
Ohhhh yaleyale ushahidi ukoawapi.. Da mange kasema and that is final..

Only fools trust that witch

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa kila unapokaribia muda wake wa 'kubadilisha damu' yaani wadudu wakipamba moto mwilini huwa anachemka saana ashauriwe aende kwenye matibabu ya kubadilisha damu mapema asijeanguka bungeni kwani mara hii bunge lijalo ni la moto...kazi anayo..
kumbe damu Ina vidudu
 
Back
Top Bottom