Spika na bunge bora tangu Uhuru!

KAYABOMBICHI

JF-Expert Member
Oct 12, 2013
296
142
Ndugai ni spika wa Tano sasa akitanguliwa na
1) Chifu Adam Sapi Mkwawa
2) Mzee pius msekwa
3) Marehemu Samwel Sitta
4)Mama Anne Makinda

Kila spika amakuwa na namna yake ya kuongoza unafikiri Spika gani kwako amekuwa spika bora!

Mie binafsi nilipenda uongozi wa mzee Sitta kwa kuliweka katika ramani nzuri bunge na kulifanya kuwa huru na la wazi japo alikuwa na mapungufu ya kibinadamu lkn aliikuza demokrasia ya bunge.
 
Mzee Samwel Sitta alikuwa Spika Mzuri Sana japo Pia alipata bahati ya Kuwa Na Rais Mwana Demokrasia

Mzee Msekwa alikuwa Mbabe Sana

Chief Adam Sapi hakuwa Na Mbwembwe

Marekebisho

Ndugai Ni Spika wa Tano Mweusi

Spika wa Kwanza alikuwa Karimjee sio Adam Sapi
Ina maan kule vidudu nilidanganywa kuhusu Spika wa kwanza mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlaji ni mla leo, mla jana kala nini?.
Spika bora ni aliyepo sasa.

Halafu we mleta mada, sio kila kitu lazima ufanye comparison, mambo ya kushindanisha utamu kati ya kiazi na nanasi au boga na embe sio mazuri kabisa, mtu unaona kabisa debe tupu linavyopiga kelele au debe shinda haliachi kutika, halafu unatuma watu wakangalie kama limejaa!, Acha hizo.

RIP SS.
P
 
Utaitwa tena Mr. Mayalla. Jana kuna mtu kasema kuwa hukuwa na maana kuwa wabunge wasihojiwe na kina nyie ila alikuwa anamaanisha kuwa wakihojiwa kina wale wanaharibu mjadala ndani ya Bunge. Alipoulizwa kuhusu deni la yule mbishi mwenzako akasema sio kuwa wengine hawana madeni la, tena wana makubwa zaidi ila yule mbishi mwenzako madeni yake yanamchanganya zaidi. Sasa nikawaza, Je siku hizi anapiga ramli? Ha ha haaaa mayalla mbaya sana.
 
Aisee ungebadilisha heading ya post yako iwe " Spika wa ovyo tangu Uhuru ni nani"? Hapo ungepata gharika ya majibu yanayofanana!
 
mh ila wadau tukumbuke pia marehemu Sitta ali mfyekelea mbali ZIto Kabwe lakini baada ya kamati kuundwa ikaonekana hoja za zito zilikuwa sahihi>; ukiachilia hilo sita alijitahidi sana R I P S. Sitta.
 
Mlaji ni mla leo, mla jana kala nini?.
Spika bora ni aliyepo sasa.

Halafu we mleta mada, sio kila kitu lazima ufanye comparison, mambo ya kushindanisha utamu kati ya kiazi na nanasi au boga na embe sio mazuri kabisa, mtu unaona kabisa debe tupu linavyopiga kelele au debe shinda haliachi kutika, halafu unatuma watu wakangalie kama limejaa!, Acha hizo.

RIP SS.
P
Umemaliza kiongozi!!

Mr pascal huwa hukubali haraka sana kila jambo na huwa hupendi kuwa wazi sana yaani kuonesha hisia zako juu ya kitu fulani lkn ukweli huwa unao wewe mwenyewe.lkn huwa nakuelewa sna.

Back
Top Bottom