Spika msikilize kijana wako Nasary asivyotetereka kiimani au kwa nguvu ya pesa

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Ameyasoma Nassary

1 Mwana mwenye hekima husikiliza mausia ya babaye;Bali mwenye dharau hasikilizi maonyo.

2 Mtu atakula mema kwa matunda ya kinywa chake;Bali nafsi ya mtu haini itakula jeuri.

3 Yeye alindaye kinywa chake huilinda nafsi yake;Bali afunuaye midomo yake atapata uharibifu.

4 Nafsi ya mtu mvivu hutamani asipate kitu;Bali nafsi ya mwenye bidii itanenepeshwa.

5 Mwenye haki huchukia kusema uongo;Bali mtu mbaya huwa karaha, hupatwa na aibu.

6 Haki humlinda yeye aliye mnyofu katika njia yake;Bali ubaya humwangusha mwenye dhambi.

7 Kuna mtu mwenye kujitajirisha, lakini hana kitu;Kuna ajifanyaye kuwa maskini, lakini ana mali nyingi.

8 Dia ya nafsi ya mtu ni utajiri wake;Bali mtu maskini hasikii ogofyo lo lote.

9 Nuru ya mwenye haki yang?aa sana;Bali taa ya mtu mbaya itazimika.

10 Kiburi huleta mashindano tu;Bali hekima hukaa nao wanaoshauriana.

11 Mali iliyopatikana kwa haraka itapunguka;Bali yeye achumaye kidogo kidogo atazidishiwa.

12 Kilichotarajiwa kikikawia kuja, moyo huugua.Bali haja ya mtu ikipatikana, ni mti wa uzima.

13 Kila alidharauye neno hujiletea uharibifu;Bali yeye aiogopaye amri atapewa thawabu.

14 Sheria ya mwenye akili ni chemchemi ya uzima,Ili kuepukana na tanzi za mauti.
15 Ufahamu mwema huleta upendeleo;Bali njia ya haini huparuza.

16 Kila aliye na busara hutenda kazi kwa maarifa;Bali mpumbavu hueneza upumbavu.

17 Mjumbe mbaya huanguka maovuni;Bali mjumbe mwaminifu ni afya.

18 Umaskini na fedheha zitampata yeye akataaye kurudiwa;Bali yeye aangaliaye maonyo ataheshimiwa.

19 Haja iliyopatikana ni tamu nafsini mwa mtu;Bali kujitenga na maovu ni chukizo kwa wapumbavu.

20 Enenda pamoja na wenye hekima, nawe utakuwa na hekima;Bali rafiki wa wapumbavu ataumia.

21 Uovu huwaandamia wenye dhambi;Bali mwenye haki atalipwa mema.

22 Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi;Na mali ya mkosaji huwa akiba kwa mwenye haki.

23 Chakula kingi chapatikana kwa ukulima wa maskini;Bali viko viharibiwavyo kwa sababu ya dhuluma.

24 Yeye asiyetumia fimbo yake humchukia mwanawe;Bali yeye ampendaye humrudi mapema.

25 Mwenye haki hula akaishibisha nafsi yake;Bali tumbo la mtu mbaya litaona njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kayasoma wapi?
 
Nimemuhurumia sana kumbe alikua anapitia changamoto ya ndoa yake aiseee!
Toka 2014 walikua hawajapata mtoto!

Ndio maana alikua kimya mpaka akawa anazushiwa anataka kuhama!

Pole sana Nasari Mungu atajibu maombi yako dhidi ya hawa watesi wako!
 
Ameyasoma Nassary

1 Mwana mwenye hekima husikiliza mausia ya babaye;Bali mwenye dharau hasikilizi maonyo.

2 Mtu atakula mema kwa matunda ya kinywa chake;Bali nafsi ya mtu haini itakula jeuri.

3 Yeye alindaye kinywa chake huilinda nafsi yake;Bali afunuaye midomo yake atapata uharibifu.

4 Nafsi ya mtu mvivu hutamani asipate kitu;Bali nafsi ya mwenye bidii itanenepeshwa.

5 Mwenye haki huchukia kusema uongo;Bali mtu mbaya huwa karaha, hupatwa na aibu.

6 Haki humlinda yeye aliye mnyofu katika njia yake;Bali ubaya humwangusha mwenye dhambi.

7 Kuna mtu mwenye kujitajirisha, lakini hana kitu;Kuna ajifanyaye kuwa maskini, lakini ana mali nyingi.

8 Dia ya nafsi ya mtu ni utajiri wake;Bali mtu maskini hasikii ogofyo lo lote.

9 Nuru ya mwenye haki yang?aa sana;Bali taa ya mtu mbaya itazimika.

10 Kiburi huleta mashindano tu;Bali hekima hukaa nao wanaoshauriana.

11 Mali iliyopatikana kwa haraka itapunguka;Bali yeye achumaye kidogo kidogo atazidishiwa.

12 Kilichotarajiwa kikikawia kuja, moyo huugua.Bali haja ya mtu ikipatikana, ni mti wa uzima.

13 Kila alidharauye neno hujiletea uharibifu;Bali yeye aiogopaye amri atapewa thawabu.

14 Sheria ya mwenye akili ni chemchemi ya uzima,Ili kuepukana na tanzi za mauti.
15 Ufahamu mwema huleta upendeleo;Bali njia ya haini huparuza.

16 Kila aliye na busara hutenda kazi kwa maarifa;Bali mpumbavu hueneza upumbavu.

17 Mjumbe mbaya huanguka maovuni;Bali mjumbe mwaminifu ni afya.

18 Umaskini na fedheha zitampata yeye akataaye kurudiwa;Bali yeye aangaliaye maonyo ataheshimiwa.

19 Haja iliyopatikana ni tamu nafsini mwa mtu;Bali kujitenga na maovu ni chukizo kwa wapumbavu.

20 Enenda pamoja na wenye hekima, nawe utakuwa na hekima;Bali rafiki wa wapumbavu ataumia.

21 Uovu huwaandamia wenye dhambi;Bali mwenye haki atalipwa mema.

22 Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi;Na mali ya mkosaji huwa akiba kwa mwenye haki.

23 Chakula kingi chapatikana kwa ukulima wa maskini;Bali viko viharibiwavyo kwa sababu ya dhuluma.

24 Yeye asiyetumia fimbo yake humchukia mwanawe;Bali yeye ampendaye humrudi mapema.

25 Mwenye haki hula akaishibisha nafsi yake;Bali tumbo la mtu mbaya litaona njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo dogo akiguswa tu njoo ccm utarudishiwa ubunge, mbio sana kuwahi nafasi.
Kwanza hakutakiwa kuita waandishi wa habari.
Mgogo yupo,Ofisi IPO,kama alitaka kuomba msamaha ilimpasa kuchukua taratibu za kiofisi tu.
TUTAONA HII PICHA ITAPOISHISent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom