Kiranja Mkuu JF-Expert Member Feb 18, 2010 4,066 4,085 Nov 13, 2010 #1 Je huyu mama kapitishwa na ccm kwa kuwa ni mbabe na dikteta kama alivyosema kwenye hotuba yake au kuna sababu nyingine zaidi ya hii?
Je huyu mama kapitishwa na ccm kwa kuwa ni mbabe na dikteta kama alivyosema kwenye hotuba yake au kuna sababu nyingine zaidi ya hii?
Mungi JF Gold Member Sep 23, 2010 16,975 9,566 Nov 13, 2010 #2 Kiranja Mkuu said: Je huyu mama kapitishwa na ccm kwa kuwa ni mbabe na dikteta kama alivyosema kwenye hotuba yake au kuna sababu nyingine zaidi ya hii? Click to expand... Mvinyo wa zamani ndani ya chupa mpya.
Kiranja Mkuu said: Je huyu mama kapitishwa na ccm kwa kuwa ni mbabe na dikteta kama alivyosema kwenye hotuba yake au kuna sababu nyingine zaidi ya hii? Click to expand... Mvinyo wa zamani ndani ya chupa mpya.
PakaJimmy JF-Expert Member Apr 29, 2009 16,203 8,725 Nov 13, 2010 #3 Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba!
Ndachuwa JF-Expert Member Mar 8, 2006 6,269 4,570 Nov 13, 2010 #4 Toka mwka 1975 yuko bungeni bado huamini kama anaweza kuongoza Bunge?
Ndibalema JF-Expert Member Apr 26, 2008 10,956 4,648 Nov 13, 2010 #5 Vincent Augustino said: Toka mwka 1975 yuko bungeni bado huamini kama anaweza kuongoza Bunge? Click to expand... It doesn't matter. Kama ingekuwa hivyo basi angepewa kingunge Ngombale, John Malecela au hata Basil Mramba. Turudi kwenye swali la msinge je amepewa kwa sababu ya udikteta wake?
Vincent Augustino said: Toka mwka 1975 yuko bungeni bado huamini kama anaweza kuongoza Bunge? Click to expand... It doesn't matter. Kama ingekuwa hivyo basi angepewa kingunge Ngombale, John Malecela au hata Basil Mramba. Turudi kwenye swali la msinge je amepewa kwa sababu ya udikteta wake?
Pascal Mayalla Platinum Member Sep 22, 2008 50,513 113,636 Nov 13, 2010 #6 Kiranja Mkuu said: Je huyu mama kapitishwa na ccm kwa kuwa ni mbabe Click to expand... Ndiyo.
JIULIZE KWANZA JF-Expert Member Nov 6, 2010 2,569 499 Nov 13, 2010 #7 Ili awakalishe wapinzani chini wanapokuja na hoja za kimaendeleo...
Njowepo JF-Expert Member Feb 26, 2008 9,710 2,227 Nov 13, 2010 #8 With 35 years of experience si haba ila kwa kipindi chote icho hakutakiwa kuwa kama alivyo