Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,063
- 4,056
Je huyu mama kapitishwa na ccm kwa kuwa ni mbabe na dikteta kama alivyosema kwenye hotuba yake au kuna sababu nyingine zaidi ya hii?
Je huyu mama kapitishwa na ccm kwa kuwa ni mbabe na dikteta kama alivyosema kwenye hotuba yake au kuna sababu nyingine zaidi ya hii?
It doesn't matter. Kama ingekuwa hivyo basi angepewa kingunge Ngombale, John Malecela au hata Basil Mramba.Toka mwka 1975 yuko bungeni bado huamini kama anaweza kuongoza Bunge?
Ndiyo.Je huyu mama kapitishwa na ccm kwa kuwa ni mbabe